Tony Laurent
JF-Expert Member
- Jan 5, 2011
- 5,606
- 7,032
Daa! Kwa hiyo alivyokujibu hivi tu ndio imekufanya uone kama umeokota dodo kwenye mpapai au kuna mengine? Kama ni hili tu, unatakiwa kujitathmini uwezo wako wa kufanya Asessment of Human BehaviorMwanamke muelewa
Anajishusha
Anapenda ujifunze
Aisee Nimeokota dodo chini ya mpapai.
View attachment 3221468
Mimi niliambiwa nisiende kufanya kazi mkoa penzi ilikuwa tamu sana hapo mjamzito na vipesa vipo akajifungua nipo mkoa mambo akawa mazuri, nilipoacha kazi kurudi Dar ni kaanza choka, ananichukia vibaya ila watoto ananipa furaha maana sina kazi mambo yamegoma, watoto shule naunga na chakula bado natamani kukimbia familia yeye yupo kazini basi manyanyaso ndaniMwanamke muelewa
Anajishusha
Anapenda ujifunze
Aisee Nimeokota dodo chini ya mpapai.
View attachment 3221468
Mna mda gani? akine sie wkt huo tukipewa maji ya kunywa goti mpaka chini lkn ss hv kila aina ya misemo nimejifunza kuwa uyaone,Mwanamke muelewa
Anajishusha
Anapenda ujifunze
Aisee Nimeokota dodo chini ya mpapai.
View attachment 3221468
We ndo yupi hapo kwenye hiyo convo π€Mwanamke muelewa
Anajishusha
Anapenda ujifunze
Aisee Nimeokota dodo chini ya mpapai.
View attachment 3221468
Kuna mmoja alisema hapendi hata kumsikia.anapumua anapatwa hasira kali.TΓ tizo huwezi kufirisika, ungekuja na ushuhuda hapa, mimi ni shuhuda ukiwa huna hela mwanamke anakuona tΓ kataka tuu,
AiseeMwanamke muelewa
Anajishusha
Anapenda ujifunze
Aisee Nimeokota dodo chini ya mpapai.
View attachment 3221468
Wachawi mmefika sasaVina muda basi!! Mtaachana tu....tupo hapa
Eeeh ndo tumetua na ungo mida hiiWachawi mmefika sasa
Mambo vipi Best? unajua sisi ni wakongwe sana hapa.Eeeh ndo tumetua na ungo mida hii
Poa kabisa braza, hivi si una wajukuu sahivi πππππMambo vipi Best? unajua sisi ni wakongwe sana hapa.
Can you imagine toka kipindi kile?
Wawili!! Mungu ni mwema sanaPoa kabisa braza, hivi si una wajukuu sahivi πππππ
Hongera sana braza, kwakweli ni kitambo....God is Good bado tupoWawili!! Mungu ni mwema sana