Mungu wa miujiza mbona sijawahi kumwona? Au kuona miujiza yake?

Basi pia ulimwengu umekuwepo milele.

Hakuna wakati ambapo ulimwengu haukuwepo.

Ulimwengu umekuwepo milele.

Na hauna muumbaji.

Na wala hauhitaji muumbaji.
Whtata if ulimwengu ndo Mungu mwenyewe, na sisi ni hologram yake? Nikiwa na maana huyu anaye mwabudu ni wanajiabudu wenyewe bila wao kujua maana ulimwengu wenyewe ndio wao?
 
Bora huu muujiza wenye kuonekana kuliko muujiza wa Mungu ambae hatua wahi kumwona wala kushuhudiabmuujiza wake kwa mboni za macho yetu.

Huoni kuwa hata maandiko yenyewe yako self defensive? Yaani yanatsbiri kitu kinacho weza kutokea lakini yasitoe namna ya kuwafanya hao wanakaa uwepo wake wajue kwa ufahamu wao kuwa Mungu yupo?
 
Hapana...Kila Mwanadamu amepewa chances sawa. Kila mwanadamu anazaliwa akiwa katika maumbile ya dini ya kiislam ila wazazi wake wawili ndio humbadili mtoto na kumpeleka katika dini nyingine.
Hahahaha, we jamaa... What about jamii ambazo hazijui ukristo na Islam?

Kuna jamii za ki Buddha na ki hindu ambazo zime exist hata kabla ya Christianity na islam
 
Kweli kabisa mkuu😂

Kwamba Mungu aliumba watu wanaoweza kumkana? How is that even possible? Na aje aanze kuwaadhibu na wakati anauwezo wa kuwafanya asiwakane?

Kwanini basi usitokee muujiza kuwa anaye mkana na kufa papo hapo angalau tujue kweli yupo na kweli kumkana yeye kuna chuki a na hata kama hataki kuona basi ukimkana hadharani unakufa mara moja?
 
Whtata if ulimwengu ndo Mungu mwenyewe, na sisi ni hologram yake? Nikiwa na maana huyu anaye mwabudu ni wanajiabudu wenyewe bila wao kujua maana ulimwengu wenyewe ndio wao?
Ulimwengu unaweza kusimama wenyewe kama ulimwenguni bila kuhusishwa na huyo Mungu.

Kwa nini uhusishe Mungu na Ulimwengu?

The universe stand alone. By itself. Without relying on anything or anyone.

No need of God.
 
Ulimwengu unaweza kusimama wenyewe kama ulimwenguni bila kuhusishwa na huyo Mungu.

Kwa nini uhusishe Mungu na Ulimwengu?

The universe stand alone. By itself. Without relying on anything or anyone.

No need of God.
Nasema ni God kwa sababu almost all traditions zina worship na kutukuza hiyo energy, or representation of a higher realm that brought everything to existence...

In Buddhism we call it samadhi, a gateway to self Enlightenment.. Kujua kuwa am everything, including God and the universe.

GOD might be what humans think but it's all encapsulated in the consciousness and awareness of everything that brought it into existence in either the physical, mental or spiritual planes
 
Ku- worship tu, bado sio uthibitisho wa kwamba Mungu huyo yupo.
 
Ku- worship tu, bado sio uthibitisho wa kwamba Mungu huyo yupo.
Sidhani kama kuworship wengi hasa wasio wakristo ni kuamini kuna Mungu, ila ni kama gratitude and appreciation of the gift of life itself.
 
Belief that you belief na kama kuna wewe hauami waache wanaoamini

Hii yote inayosababisia discusion ni elimu tuliyoletewa na wazungu
Kawni aliye leta dini ni nani? Kama sio huyo huyo mzungu?
 
HIvi unafikiri wanasayansi wange enda na hii concept wangeweza kuvumbua vitu?

Ni sawa na wale mababu wa zamani walio amini dunia ni flat

Hata mwili na operation zake zimetokana na uchunguzi yakinifu usio wa kiimaani bali experiment madhubuti na kuuliza maswali yenye logic kuweza kufikia conclusion,

Sasa wewe unaleta Imani za kidwanzi eti maandiko this maandiko that?

Mwili wa binadamu unazaliwa na kufa, na hakuna mtu aliye nje anaye u control mwili huu, unazaliwa na kufa kama mnyama na mmwea, mbona hamuulizi haya maswali kwa wanyama?

Acha kufanya delusional thinking yako iwafikie watu wanaojitambau
 
Kwahiyo mtoa mada huna imani na uwepo wa Mungu.?
Nina imani kuwa kuna forces za ulimwengu zinaendesha ulimwengu lakini hazina wooovu wala kusamehe kama ilivyo ahidiwa kwenye maandiko kuwa kuna Mungu anaye samahe na kufanya Miujiza
 
Je ni Muujiza au mpangilio wa ulimwengu ambao upo tangu kale, na je kama kuna kitu kuifanya haya yote yakatokea ndo tuite hicho kitu Mungu?

Na je hata kama ni Mungu mbona huyo Mungu anaingia kwenye umbo la binadamu na si hizo sayari, au hewa tunazozivuta?

Kwanini sisi na kila kitu usiwe Mungu sasa kwa muktadha huu?
 
Ameanza kukufuru kisa tu anautaka unini ule sijui mnauita usilver member sijui Uplatinum member wa JF
Hahaha mkuu😂 ni nauliza maswali ambayo ni msingi wa imani tunavyo kwenda kusali kila siku hayo mambo ya platinum badge nilisha tupilia mbali
 
Unaamini vipi universe iliumbwa? Wewe mwenyewe tumezaliwa na haukuumbwa

Mbegu ya baba yako na mama yako ziliungana kukulea katika existence
 
Imani ni kama activation au drive ya kukufanya uwe katika vibration fulani,

Na hiyo vibration inaweza kuwa constructive au destructive
 
Ni kwanini useme binadamu wa siku hizi ni wabishi wakati wewe mwenyewe umeshindwa kuwa Elezea vyema na kwa shuhuda zinazo onekana na kurudiwa kwa mboni za macho yao?

Huoni kuwa ni kama upotoshaji? Kuwa Elezea watu kitu kisicho na ukweli wowote na hakuna anayeweza kurudia kile kile Cho weza kukutokea wewe?
 
Hahahaha, we jamaa... What about jamii ambazo hazijui ukristo na Islam?

Kuna jamii za ki Buddha na ki hindu ambazo zime exist hata kabla ya Christianity na islam
Katika uislam jamii ambazo zimeishi na hazikuwahi kufikiwa kabisa na UISLAM au hazijawahi kusikia kuhusu Mtume Muhammad (pbuh) zinatambulika kama Ahlul Fatarah. Hawa watu hawatadhulumiws hats kidogo kwasababu Mungu kashasema katika Quran kuwa haadhibu watu pasi na kuwapelekea Muonyaji . Hivyo mtu wa namna hii siku ya Qiyama, ALLAH atampa mtihani wa utii kuona utii wake kwake.
 
Duh unajua historia kweli mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…