Mungu wa miujiza mbona sijawahi kumwona? Au kuona miujiza yake?

Mungu ameweka kila ishara ndani ya miili yetu zinazoonesha kuwa yupo ila kuna watu kiasili ni vipofu licha ya kuwa wana macho, wengine ni viziwi licha ya kuwa wana masikio ya kusikia na wengine wana mioyo ila wameamua tu kutotaka kuelewa.

ishara za uwepo wa Mungu zipo wazi mithili ya jua la utosi..ila kunawatu wameamua tu kuzikataa...sass hawa hatuwezi kuwalazimisha ila watskuja kutolewa upofu na uziwi ndani ya moto wa jahannam
 
Ukweli wa kujua kuna muujiza sio maneno ya biblia bali uhalisia wa nje unaweza kuthibitika na kujirudia.
 
Sawa mkuu, ila huenda hiyo biblia ni fiction kama unayosema na nature ndiye Mungu mwenyewe. Ila sio kwamba biblia na dini zina ukweli wowote, bali ni kielelezi cha lugha ya mafumbo kuonwsha ukuu wa universe na source ambazo ni alfa na omega
 
Sawa mkuu, so kumbe ni utaratibu wa maisha na hakuna kingine?
 
Hii ni self logical conception ya kijitungia tu, hakuna mtu wa kudhani Mungu ni MNAFIKI kiasi cha kujua hatima yako lakini bado akakuleta duniani uteseke
 
Huyo Mungu basi ananogwa kubwa sana maana hana ukuu anaposema kuwa anamtakia kila mema kiumbe aliye Muumba mpaka asiweze kumsikiliza
 
Huyo Mungu basi ananogwa kubwa sana maana hana ukuu anaposema kuwa anamtakia kila mema kiumbe aliye Muumba mpaka asiweze kumsikiliza
Mungu anasikiliza ila hafanyi unavyotaka wewe iwe...ila analolitaka YEYE ndio huwa
 
ndo hapo asa dini tunaikataa lakn elimu tumeipokea safi
Elimu ina positive impact na intangible results ila dini haina Mbona hizo ni ishara za kimwili tu na inaweza kuproviwa na predicted kwa sayansi
 
Mungu anasikiliza ila hafanyi unavyotaka wewe iwe...ila analolitaka YEYE ndio huwa
Kwanini tuna penda kuhusishwa kitu kilicho nje ya uwezo wetu na Mungu?

Si hata zamani tulikuwa tunajua dunia iko flat!?
 
Ukitaka Kujua Mungu Yupo na Anakuvumilia Kwa Ujinga Wote Unaofanya Hata Wa Kumsema Kuwa Hayupo jaribu Mambo Haya
1. Tafuta Mali kwa Njia Zisizohalali , utakayokutana nayo Huko yatakufanya Uamini kwamba Mungu Yupo

2. Ponda Starehe sana Kula Maisha msahau Yeye kwamba Hayupo. Huwa baadae Anajidhihirisha Kwamba Yupo

3. Pata Magonjwa na Taabu Za Dunia Hii halafu Siku Moja Akuwekee mkono Wake utoke Kwenye Hizo Taabu na Magonjwa Utamsifu na Kumwabudu mpaka Utakapotoka Hapa Duniani

USISEME MUNGU HAYUPO... Maana Hata Shetani Anatumia Mbinu hii sana Kuwaaminisha Watu Mungu hayupo maana Anakujalia Mali, Starehe, Wanawake wazuri zinazokufunika akili Kwamba Mungu hayupo maana Una Kila Kitu

YOTE KWA YOTE, MUNGU AMEKUPA FREE WILL... Upo Huru Kumkubali na Upo Huru Kumkataa. Na hakulazimishi kumkubali au kumkataa ila Amekutahadharisha Tu kwamba Kwa Viumbe wote watakaokataa na Kujiunga na Yule Shetani aliyemkana basi amewaandalia Sehemu maalumu panapoitwa jehanamu.

Ila kwa wanaotaka Kumkubali basi Kuna Kumwamnini mwanae Yesu Kristo na Kubatizwa kwa maji na Kwa Roho mtakatifu.. Na Kutenda Yaliyo Mema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…