Uchaguzi 2020 Musoma: Tundu Lissu alala Butiama nyumbani kwa Mwalimu Nyerere

Kwani kura zinapigwa mkoa wa mara tu?? Acheni kuweweseka na usiwatie ujinga watu wa mara kwamba mtaleta fujo tutawapiga virungu kisawasawa. Lissu hatoshinda comrade hilo lipo wazi.
Kamuulize polepole
 

Tutapigia kura chumbani kwa polepole.
 
Salute Mama nikienda Mpanda ntakuletea Mchele na ndizi za Mwese
 
Duh siasa siyo mchezo wa kitoto ...Lissu huyu huyu aliwahi kumtukana na kumdhalilisha Baba wa taifa....nimemkumbuka mtu mmoja aliyekwenda kwa Kardinali Pengo baada ya kumdhalilisha ya kumtukana Kardinali huyo kipindi Cha nyuma...tusubiri tuone hizo baraka au laana...yangu macho na masikio...
 
Hivi mkuu uongo unakusaidia nini lkn?

Hizi picha zilipigwa mwaka 1981 wakati wa mahafali ya Lissu kumaliza kidato cha 4.

Acheni uongo bana.
 
whom treated us to a sumptuous dinner & breakfast."[emoji1536][emoji1536][emoji1536][emoji1548][emoji1548][emoji1548][emoji818][emoji818][emoji818][emoji617][emoji617][emoji777][emoji777][emoji777]
Woyoooooo
 
Haya matukio yanayotokea natamani namuone polepole ana hali gani huko alipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ