Raia mwema?au raia asiyejua haki zake,amefanywa maskini,fukara,ajira hana,kipato Duni,afya mbovu,
Huyu hawezi kuwa raia mwema,ni mjinga na zombie TU,ccm wanatengeneza mazombie,ukimnyima mtu elimu,afya,na kipato,huyo utamtawala milele,
Mtz yupo tayari kupiga na kuua mwizi wa kuku!lakini akiambiwa Kuna ofisa kaiba bilioni 40,haelewi,Wala Hana uwezo wa kuhusisha wizi wa bilioni 40,na maisha yake Duni,elimu Duni,afya Duni,chakula Duni,miundombinu Duni,akijua haya ndio atakuwa raia mwema,
Hiyo TISS inatayalishwa kulinda majizi yaliyopo madarakani,atakaeleta fyoko,ni kutulizwa TU,
Mbaya zaidihata wale "wawakilishi"wa wananchi,wabunge na wao wamejongea meza ya ulaji,hawana msaada.
Raia wema ni kama wa Sri Lanka,waliochoshwa na wizi,ufisadi wakaamua kuvsmia ikulu,Rais akakimbia nchi!
Jeshi halikuingilia huo ugomvi,mkuu wa jeshi yeye alisema ni ugomvi kati ya wananchi na Rais wao!!
Wananchi walikataa upuuzi,wakafanya maamuzi,bongo hakuna raia wema,wamejaa waoga,na wajinga,
Vijana wa kiarab waliofanya Arab spring ndio raia wema,sio mazombie ya bongo,