We sawa tu....Jumamosi hii wanaoenda kazini wanalaani hatari, ila ambao hawaendi kazini ni kulala hadi njaa iume kisawasawa ndo waamke kupika.
Hongereni kwa hali ya hewa nzuri, pole kwa wanaoishi maeneo ya chini ya usawa wa bahari maana mafuriko hayatawaacha salama.
Huwa sielewi kwanini Tanesco hawapatani na mvua, ikinyesha tuu umeme usipokatika basi hilo eneo limebahatika.
Poleni kwa yote, ndo maisha.
Bora KasieKati ya jua [emoji274] na mvua [emoji943], bora nini...!!!!
Ikitokea usinzii ina maana ndio unakesha kibarazani sio? Vijora na madera huko ndio mahala pake.Joto tumeshalizoea. Vi vimkeka vyetu tu nje kibarazani ukianza kusinzia unarudi kitandani sasa. Ila leo hamna joto.
Ni buza mkuu, karibu
Hey there,Missy Gf.Goodmorning Zulu man how are you?
Ni kweli mvua imepiga kubwa ya kutosha though huku nilipo mimi haikuwa na upepo, mvua kubwa ya utulivu[emoji1][emoji1] ila kwa sasa yamebaki manyunyu tuWakazi wa dar mnafirahisha, mvua kidogo mnafungua thread, huku kugoma radi zinapigwa mpaka miti inakauka lakini fresh na watu hawawezi wala nini? Lakini poleni maana kwa dar mvua kunyesha sio kawaida.
Zile radi za Jana usiku sijawai zi shuhudia tangu nimekuepo hapa Dunia..Wanaume wa Dar wanaogopa radio hii nchi Ina hatari sana Yani daaah
Yani mwanaume mzima unasema unaogopa radi
aisee kama huku bado viradi na manyunyu ila wingu bado lipoNi kweli mvua imepiga kubwa ya kutosha though huku nilipo mimi haikuwa na upepo, mvua kubwa ya utulivu[emoji1][emoji1] ila kwa sasa yamebaki manyunyu tu
Ndio kinachoniweka mjini mwaya, kazi zao hazinisaidii chochote.ni kibaruani wamesema wa kazini hawaendagi jumamos eti
Eeh vijora vya chui chui bila chupi ndani. Yaani huku burudani sana wewe elfu 8 tu umepata mtoko mpya.Ikitokea usinzii ina maana ndio unakesha kibarazani sio? Vijora na madera huko ndio mahala pake.
Ahsante mkuu itabidi nifikemo ukiwa unahama uniachie chumba tuwakomoe madalali π
Ambao hawajashuhudia yaliyotokea usiku wa leo ni haki yao kusema wanachojisikia.Zile radi za Jana usiku sijawai zi shuhudia tangu nimekuepo hapa Dunia..
Hali ni mbaya sana sanaaa miti imeangukia barabarani..
Mpaka muda huu napokea taarifa subordinate wangu wengi toka sehemu mbali mbali za dar hawatoweza fika Kwa kazi..
NB:
For sure Jana niliogopa sana radi na miti kuangukia nyumba
Nilisoma Ile shule kongwe pale bukoba Enzi zile Kwa msio jua kule SOMETIMES RADI ZINAPIGAGA JUA HUKU LINAWAKA so radi binafsi hazikuwai kuniogopeshaa
Shuleni pale wamefunga minara ya kupunguza spidi na kuzizuia RADI
All in all mvua na radi za Jana ni balaa ever!! Giza anga Lina vimulimuli kama Tupo ukanda wa GAZAπ π πππ
Bukoba Secondary(1964) au ihungo(1929) Kahororo (1954) au Omumwani (1966)?Nilisoma Ile shule kongwe pale bukoba Enzi zile Kwa msio jua kule SOMETIMES RADI ZINAPIGAGA JUA HUKU LINAWAKA so radi binafsi hazikuwai kuniogopeshaa
Na hapo nyuma lipo πEeh vijora vya chui chui bila chupi ndani. Yaani huku burudani sana wewe elfu 8 tu umepata mtoko mpya.
Kukesha huko ni kawaida kuna watu wanapenda shughuli kuliko chochote.Sawa nitakuachia hiki chumba ila ujipange majirani zangu wanapenda shughuli kila siku vigodoro yaani
HahahahahaEeh vijora vya chui chui bila chupi ndani. Yaani huku burudani sana wewe elfu 8 tu umepata mtoko mpya.
Sawa nitakuachia hiki chumba ila ujipange majirani zangu wanapenda shughuli kila siku vigodoro yaani
Jioni watahudhuria watoto na wamama tu, wababa hawawapati ng'oHuu utaratibu wa jumuiya ungebadilishwa bwana walao kusali jioni, wakati na toka kuna familia ilikua inaandaa mahali pa kusali vua ikaja ikabidi wahamie sebuleni kuandaa waumini waje wasali.
Kwani ukivaa nguo hivyo hivyo bila kunyoosha na pasi Kuna shida Gani? Utaumwa malaria au?Mvua ikinyesha kwa dakika 15 mfululizo umeme unazimwa.
Sijanyoosha nguo kwa pasi,
Kazi yanisuburi.