Mvua kubwa Dar usiku huu kuamkia 20 Jan 2024. Je maeneo yenu kuna maafa?

Mvua kubwa Dar usiku huu kuamkia 20 Jan 2024. Je maeneo yenu kuna maafa?

Ngumu sana kuona au hata ukiona kupunguza mwendo unakuwa ushachelewa. Ukiona dimbwi kaa mbali au pita haraka, sio unaona dimbwi unapita catwalk
me leo natembea na mawe 😅😅😅kwenye pochi saingine mnafanyaga kusudi
 









 
Kati ya jua 🌞 na mvua 🌧, bora nini...!!!!
Ukichagua mvua, ujue umeme hakuna, ndio kilichotokea leo Dar. Tanesco wamepita nayo, yaani wamekata umeme mpaka mida hii. Mvua imekata wao bado wanasita kutoa umeme.
 
20231225_172309.jpg
 
Aiseeeh, huku Tanesco wanakata umeme, kumbe Dawasco nao wamekata maji....

Basi, ni kuvumilia tuu.... hakuna marefu yasiyo na ncha.
Tanesco wanakata umeme kipindi cha mvua kutokana na historia ya mvua kuharibu miundombinu . Inakuwa ni rahisi kwao ku deal na nguzo iliyoanguka ikiwa haina umeme kuliko madai ya fidia ambayo yangesababishwa kama nguzo hiyo ingeanguka ikiwa na umeme.
 
Umeme umerudi na kukatoka ×5 ndani ya dakika tatu. Hivi hawa jamaa wana akili kweli? Wanataka kuunguza nyumba na vifaa vyetu au vipi?

Duh, hadi nimeshusha main switch, these mofos ni wajinga sana.
Polleni, hiyo ya kwenu kwetu ni Kama dozi tushazoea,. Kwa hiyo mvua umeme hawezi uachia, ni vyema wangekata bila kurudisba na kukata,

Nakumbuka mvua ya mwaka juzi mtaa mzima hakuna nyumba ambayo haukuliwa na kitu kwaajili ya hivyo kata rudisha.
 
Wanaume wa DSM wanaogopa radi[emoji1787][emoji1787].

Unaweza KUSEMA chochote unacho jisikia..

Nyumba zimeezuliwa miti mikubwa imeangukia nyumba Kuta zimebomoka

Haukuwepo so unaweza sema chochote haukua upepo Wala mvua za kawaida ilikua ni gharika

Lilikua ni gharika mzee soma comment za wadau juu wengine wamesema zikiendelea siku 3 mfululizo watu wataanza kuungama

For sure tangu nimekua mtu mzima sijawai shuhudia kilichotokea Jana wenginee watakuja kuongezea

Wasalaam
 
Back
Top Bottom