Waterbender
JF-Expert Member
- Oct 2, 2018
- 7,573
- 10,063
wapi huko😂Tokea saa 10 sijalala, radi kama zote
Bora mvua inyeshe tuchote maji ya mvua sababu Dawasco ni wiki ya 2 sasa wamegoma kufungua maji huku kwetu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wapi huko😂Tokea saa 10 sijalala, radi kama zote
Bora mvua inyeshe tuchote maji ya mvua sababu Dawasco ni wiki ya 2 sasa wamegoma kufungua maji huku kwetu.
wakati huo nshapasua vioo vyote kwanza mpaka urud reverse unipate 😅😅😅Nakuvunja miguu
ko nyie mkiwa kwenye magari yenu hamuoni ? kama kuna dimbwi nakuna watuHuwa mnanishangaza unaona kabisa kuna dimbwi na wewe unasimama hapo hapo kusubiria bodaboda! 😅😅😅
Ngumu sana kuona au hata ukiona kupunguza mwendo unakuwa ushachelewa. Ukiona dimbwi kaa mbali au pita haraka, sio unaona dimbwi unapiga catwalkko nyie mkiwa kwenye magari yenu hamuoni ? kama kuna dimbwi nakuna watu
me leo natembea na mawe 😅😅😅kwenye pochi saingine mnafanyaga kusudiNgumu sana kuona au hata ukiona kupunguza mwendo unakuwa ushachelewa. Ukiona dimbwi kaa mbali au pita haraka, sio unaona dimbwi unapita catwalk
By the time unafungua pochi gari ishapotea. Kwanza ukimwagiwa maji unaruka pembeni na mayowe wakati huo gari lishapotea 😅😅me leo natembea na mawe 😅😅😅kwenye pochi saingine mnafanyaga kusudi
Tahadhali na jiwe lako Kuna wale watembea na pistol unarusha jiwe anakurushia risasi kichwanime leo natembea na mawe 😅😅😅kwenye pochi saingine mnafanyaga kusudi
fresh tu😅😅Tahadhali na jiwe lako Kuna wale watembea na pistol unarusha jiwe anakurushia risasi kichwani
Ukichagua mvua, ujue umeme hakuna, ndio kilichotokea leo Dar. Tanesco wamepita nayo, yaani wamekata umeme mpaka mida hii. Mvua imekata wao bado wanasita kutoa umeme.Kati ya jua 🌞 na mvua 🌧, bora nini...!!!!
Tanesco wanakata umeme kipindi cha mvua kutokana na historia ya mvua kuharibu miundombinu . Inakuwa ni rahisi kwao ku deal na nguzo iliyoanguka ikiwa haina umeme kuliko madai ya fidia ambayo yangesababishwa kama nguzo hiyo ingeanguka ikiwa na umeme.Aiseeeh, huku Tanesco wanakata umeme, kumbe Dawasco nao wamekata maji....
Basi, ni kuvumilia tuu.... hakuna marefu yasiyo na ncha.
Polleni, hiyo ya kwenu kwetu ni Kama dozi tushazoea,. Kwa hiyo mvua umeme hawezi uachia, ni vyema wangekata bila kurudisba na kukata,Umeme umerudi na kukatoka ×5 ndani ya dakika tatu. Hivi hawa jamaa wana akili kweli? Wanataka kuunguza nyumba na vifaa vyetu au vipi?
Duh, hadi nimeshusha main switch, these mofos ni wajinga sana.
Wanaume wa DSM wanaogopa radi[emoji1787][emoji1787].