Kijana wa Ifoza
JF-Expert Member
- Oct 31, 2025
- 1,180
- 2,302
Ilianzia kwa Chalamila alipotolewa nishai na SuguBusara ya Babu Tale imeokoa jahazi otherwise angeharibu show, watu hawataki kusikia siasa maana wanajua ni UPUUZI.
Nimecheka sana,alafu nusu Yao baada ya kuokea hiyo buku mbili wote wanapiga usingiziHao ukiwapa buku mbili mbili tu za ugoro umemaliza kazi.
Ni kweli ila kwenye Event ya Pale Ushauri wake pamoja na Madee wa kumtaka Mwana FA aachane na Topic yake imesaidia.Babu Tale hana busara zozote, ni mwizi wa kura tu kama wengine.
Wamelaaniwa hao kwa mauaji na uchafu unaofanyika ndo maana wanazomewa kila mahali.Viongozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wasafi kama sufi nyeupe ✅️
Viongozi wetu ni wapigaji sana na ndiyo maana wanajenga majumba ya mabilioni kadhaa ,mtu kama ABDUL ananunua vitu vya ndani Ceramic vya zaidi ya bilioni 2 sasa utajiuliza hilo jumba lina thmani gani? Ananunua Buggati mbili kila moja zaidi ya bilion 10.Acha ndugu yangu nilifika Kigali aise ni kama upo mbele
Ndiyo wanacho.Kigali wana kiangazi?
Aibu nimeona mimi...🤣🤣🤣🤣 mara Dully nae akataka kumleta Makonda zomewaaa dahhh poleni sanaok.🐒
🤣🤣🤣🤣poleni sana watetezi kazi mnayoBaada ya kishundwa kutuvuruga kwenye skukuu zetu za kitaifa , sasa wame hamia kwenye matukio ya burudani
sasa mtu mzima na akili zake anakuja na hoja kwamba MWANA FA amzomewa kitu ambacho zio kweli , unaweza kuona mwenyewe jinsi hawa watu walivyo desperate kutu ingiza kwenye propaganda zao za kiwaki
wananchi walikua wana shangilia kumuona na taarifa alio itoa ya ARENA ,
niwashauri mkubari tu kuwa hii imeenda , na itaenda sanaaaa
Mom,Aibu nimeona mimi...🤣🤣🤣🤣 mara Dully nae akataka kumleta Makonda zomewaaa dahhh poleni sana
Hahahaha, Wana kazi ngumu🤣🤣🤣🤣poleni sana watetezi kazi mnayo
Gentleman,Mom,
hata Simba Football Club huwazomea mabingwa wa soka Tanzania mara5 mfululizo Dar Es Salaam Young Africans mpaka wanawatupia makopo na machupa ya maji,
but,
kwani uliwahi kuona kuzomea kwao kuna athari au kunabadilidha chochote kwa mabingwa hao?
si bado Yanga ni mabingwa tu wa soka nchini?
Halafu kwenye intertainment industry hayo ni mambo ya kawaida sana na yasiyo na athari zozote zile, ispokua ni sehemu ya burudani pia, ingawa kwenye hilo inaonekana wazi kabisa kua majuto na athari za kususia uchaguzi, zinafanya wahusika kuchukia kila kitu na kuona kila mtu ni mbaya tu 🐒
Pole kwa kuona aibuAibu nimeona mimi...🤣🤣🤣🤣 mara Dully nae akataka kumleta Makonda zomewaaa dahhh poleni sana
MENE MENE TEKELI NA PERESI..usipuuzieMom,
hata Simba Football Club huwazomea mabingwa wa soka Tanzania mara5 mfululizo Dar Es Salaam Young Africans mpaka wanawatupia makopo na machupa ya maji,
but,
kwani uliwahi kuona kuzomea kwao kuna athari au kunabadilidha chochote kwa mabingwa hao?
si bado Yanga ni mabingwa tu wa soka nchini?
Halafu kwenye intertainment industry hayo ni mambo ya kawaida sana na yasiyo na athari zozote zile, ispokua ni sehemu ya burudani pia, ingawa kwenye hilo inaonekana wazi kabisa kua majuto na athari za kususia uchaguzi, zinafanya wahusika kuchukia kila kitu na kuona kila mtu ni mbaya tu 🐒
Asante sana.japo ni aibu yenye furahaPole kwa kuona aibu