MwanaHalisi: Deni la Taifa lakadiriwa kuongezeka na kufikia Trilioni 104

Hayo mengine endelea kubwabwaja, kuhororoja na kubweka, siyo mada iliyopo hapa.
 
Kapigiwa mizinga kwa kuuza Bandari kwa Waasia wenzie.
 
Sawa kabisa.
 
CCM ni mashetani wakubwa.
Yaani iwe jua au mvua hilo deni haliwezi kulipika milele, litazidi kuongezeka maradufu na lazima rasimali zetu ziwekwe rehani kuweza kufidia. Kwa kifupi sana watanzania tumeuzwa kiujumla jumla.

CCM ilaaniwe.
LUkas unaitwaaaaa hukuu njooo
 
Umeme tunagawana kwa sababu ya zile mashine....tulikubaliana "kila kikiuma kichwa" TUMEZE PANADOL....

Suluhisho la kudumu ni APRIL 2024[emoji120]
Ndoto za mchana hizi eti Suluhisho la kudumu ni April 2024,hata gesi ya Mtwara mlijitapa hivi hivi na mkasema kukatika katika kwa umeme Tanzania itakuwa historia,gesi hiyo ilishabinafsishwa na umeme unakatika kila siku kwa masaa kumi na nne.
 
Lakadiriwa kufikia takribani Trilioni 104

Ni ongezeko la zaidi ya bilioni 600 kwa mwezi

Kila Mtanzania anadaiwa karibu milioni 1.7


View attachment 2779419
Naamini deni ni kubwa lkn. bado ni stahimilivu(resilient)! tatizo letu kubwa ni kufananisha deni la taifa au uhai wa taifa na mtu binafsi. wapo wanaoamini siku moja tutafugwa jela, kufilisiwa au taifa kupigwa mnada kwa sababu ya deni, Ndio maana hata kwenye uwekezaji wa bandari kule Bagamoyo wasomi wetu walikua wanahoji 'miaka 99! ,si sote tutakua tumekufa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…