🤣🤣🤣🤣🤣 kuchanganyikiwa lazima. Kila mmoja na njia yake huku unataka waende sehemu moja🙆♂️🙆♂️Ukiwafungulia tu kila mmoja anakuonesha tabia yake... Mwingine ataanza kupigana na ukuta, wengine shambani kwa jirani, wengine wanakuangalia usoni bila aibu na kuna wale wanaokataa kwenda unakotaka kuwapeleka.
Ukisikia style ya mbuzi kagoma ujue kuna mbuzi hata ukiwasukuma wanashika break na miguu ya mbele hawataki kwenda wala kurudi ilimradi uchanganyikiwe 🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣
Acha tu shindii, bora tulewe tu🤣🤣🤣Hivi kumbe shindikanaa Ni mwenzangu 🤣🤣🤣
Uzee sio poa🤣🤣Wanaweza kuwa washirika, inawezekanaje kuangalia episode 1 wiki 2 😂
Shindii inasemekana tuna fanana ujue🤣🤣🤣Acha tu shindii, bora tulewe tu🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣 kwahiyo mimi mlevi!! Nimelia sana.Shindii inasemekana tuna fanana ujue🤣🤣🤣
Kwani nan mlevi shindii?🤣🤣🤣🤣🤣 kwahiyo mimi mlevi!! Nimelia sana.
Husika na mada hapo juu, swali kwenu enyi wanaume, mwanamke kama haumpendi unaingia kwenye maisha yake kufanya nini?
Hivi huwa mnajisikiaje kutudanganya na kutuharibia maisha, unakuta mwanaume anafanya juhudi zote kukutongoza unamkubali, una fall in love, anakwambia maneno mazuri, mna panga mipango mingi ya maisha ila ghafla kila kitu kinabadilika.
Unashangaa mbona mwenzangu kachange na hamtoi hata taarifa, ni kimya tu simu hazipokelewi meseji hazijibiwi, ukija kuchunguza kumbe ana mahusiano yake permanently💔 tena mwingine anaweza hata kukuacha na mimba kabisa na wala hajali.
Hivi, huwa mnafikiria mara mbili mnachokifanya? Just imagine dada yako au ndugu yako wa kike ndiyo anafanyiwa unyama kama huo, utajisikiaje eti, kumbukeni what goes around, comes around. Na baadae mwanaume kama huyu anakuja kupiga vita single mother 💔
Wanaume wa namna hii ndiyo mnaofanya baadhi ya wanawake tunakuwa wakatili.
[/QUOTENNaomba ruhusa ya kuingia pm
🤣🤣🤣 hata sijui.Kwani nan mlevi shindii?
Duh amzimia maza simu afu mademu anawapa.Mwanamme rijali hakatai mimba!huwezi ongeza makosa wakati yajayo kukuhusu no giza!huwezi jua ni mtoto yupi atakufaa!
Kuna dogo Huwa anamzimia mama yake sim akiwa na hela!watoto wamepinda nyie!
Kuaribiwa maisha ni nini?Mh! Kwahiyo wewe unaona ni sawa wanawake tukiendelea kudanganywa na kuharibiwa maisha?
Pole sana 😂Uzee sio poa🤣🤣
Sasa wewe pewa mimba huko uje utegemee tutakuoa, Mimi kijana Sina mtoto staki mwanamke mwenye mtoto nataka tuanze maisha na kijana mwenzangu ambaye hajapewa mimba Wala hajazaa.Husika na mada hapo juu, swali kwenu enyi wanaume, mwanamke kama haumpendi unaingia kwenye maisha yake kufanya nini?
Hivi huwa mnajisikiaje kutudanganya na kutuharibia maisha, unakuta mwanaume anafanya juhudi zote kukutongoza unamkubali, una fall in love, anakwambia maneno mazuri, mna panga mipango mingi ya maisha ila ghafla kila kitu kinabadilika.
Unashangaa mbona mwenzangu kachange na hamtoi hata taarifa, ni kimya tu simu hazipokelewi meseji hazijibiwi, ukija kuchunguza kumbe ana mahusiano yake permanently💔 tena mwingine anaweza hata kukuacha na mimba kabisa na wala hajali.
Hivi, huwa mnafikiria mara mbili mnachokifanya? Just imagine dada yako au ndugu yako wa kike ndiyo anafanyiwa unyama kama huo, utajisikiaje eti, kumbukeni what goes around, comes around. Na baadae mwanaume kama huyu anakuja kupiga vita single mother 💔
Wanaume wa namna hii ndiyo mnaofanya baadhi ya wanawake tunakuwa wakatili.
Dah,Ongea na jirani yangu Binti wa zamaniHusika na mada hapo juu, swali kwenu enyi wanaume, mwanamke kama haumpendi unaingia kwenye maisha yake kufanya nini?
Hivi huwa mnajisikiaje kutudanganya na kutuharibia maisha, unakuta mwanaume anafanya juhudi zote kukutongoza unamkubali, una fall in love, anakwambia maneno mazuri, mna panga mipango mingi ya maisha ila ghafla kila kitu kinabadilika.
Unashangaa mbona mwenzangu kachange na hamtoi hata taarifa, ni kimya tu simu hazipokelewi meseji hazijibiwi, ukija kuchunguza kumbe ana mahusiano yake permanently💔 tena mwingine anaweza hata kukuacha na mimba kabisa na wala hajali.
Hivi, huwa mnafikiria mara mbili mnachokifanya? Just imagine dada yako au ndugu yako wa kike ndiyo anafanyiwa unyama kama huo, utajisikiaje eti, kumbukeni what goes around, comes around. Na baadae mwanaume kama huyu anakuja kupiga vita single mother 💔
Wanaume wa namna hii ndiyo mnaofanya baadhi ya wanawake tunakuwa wakatili.
Maaaaaaamae wanajifanyaga Wana hadhi sana eti anataka aolewe na mbunge au waziri, mbunge mwenyewe mume wa mtuIngekuwa miaka ya zamani ingekuwa ni kweli wanawake mnadanganywa na kurubunika. Ila sio wanawake wa sasa.
Wengi wenu ndio wezi wa mapenzi na matapeli wa mahusiano mpo after money 💰. Mkikutana na wajanja wamewazidi mbinu na ujanja mnakuja kulia lia kuwa mnachezewa kumbe ukweli mnacholalamika ni kuwa wale mliowadhania kuwa ni mafala nowadays wanawazidi kete na ninyi mnaambulia patupu.
Kuna mdada juzi kati hapa kisa chake ukisikiliza unasema wanawake wa kizazi hiki wengi mtazeekea kwa wazazi au mtaishi maisha ya nje ya ndoa hadi uzeeni.
Dada ni mzuri kabisa pisi ya maana. Alipangishiwa nyumba kubwa na jamaa akalipia kodi miezi mitatu. Akawekewa baadhi ya vitu ndani na akapewa gari ya kutembelea.
Tukio halijachukua hata miezi miwili. Mwamba alikula sana mzigo halafu akapita hivi.
Gari ilikuwa ni ya watu iliwekwa bond alikuja kufuatwa na watu tofauti wamekuja chukua gari yao. Vitu vya ndani furniture zilikuwa zinadaiwa ni za mtu ziliwekwa bond pia zilikuwa bado mpya.
Nyumba ililipwa kodi miezi mitatu tu inatakiwa kulipiwa tena baada ya hapo na kodi ni 400K.
Mdada alikuwa kashajiweka comfortable. Ingawa ana kazi ila jamaa alimtengeneza kuwa atasimamia show kumbe ni wahuni tu wa mjini.
Kwa kifupi mlianzisha michezo ya uhuni kwenye mahusiano hadi wanaume serious wamepungua sana siku hizi mnapata matapeli wenzenu. Kuleni chuma hicho.
Vivyo hivyo hata kwa wanaume pia ni baadhi. Sio wote kama mnavyosema(ga)Mkuu kosa la baadhi ya wanawake usitujumuishe wote maana wastaarabu tupo na bado mnaamua kutudanganya
Duuh!Wanawake ni watu wa ajabu sana:
Mkidanganywa shida!
Mkiambiwa ukweli shida!
Mnataka nini sasa? Ukiwa msema kweli aisee hutakaa upate mbususu. Mimi nimewahi kujikosesha mbususu za maana sana kisa tabia yangu ya kusema ukweli japo mara nyingi mabinti huwa wana-appreciate kwamba nilifanya vizuri kusema ukweli badala ya kudanganya na kuwapotezea muda wao.
Wanawake mngejua mnachokitaka na mkakisimamia wala kusingekuwa na hii mikanganyiko!