Mwanamke kama haumpendi unaingia kwenye maisha yake kufanya nini?

Enhe imekuaje Mkorea mwenzangu 🀣
Kuna kijana anataka twende Keonbae tukapate vitu vyetu, mie nauli ya ndege sina sasa nimependekeza twende Atti tukale tteokbokki na soju πŸ˜‚
 
Unashangaa mbona mwenzangu kachange na hamtoi hata taarifa, ni kimya tu simu hazipokelewi meseji hazijibiwi,...
Ulijiongeza??
Labda alitarajia utamfanyia mambo kama kuifinyia kwa ndani, Bj, nk akakuta hakuna kitu ndo sababu akasepa, akaenda anakofanyiwa hayo
 
Tatizo lenu ubahili. Yaani anakutoa out. Unataka aghalamike kuanzia nguo zako mpaka nauli ya kukufikisha eneo la tukio.
Hii haikubaliki na tuliipinga kabisa kwenye vikao.
Unakosa hata buku mbili ya kwenda na kurudi. Huna hata miatano ya maji njiani...?
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ huyu sio muhuni, tapeli wala mwizi, huyu ni Fisadi papa wa mapenzi. Lol
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
 

Attachments

  • wavuvi_pic1_-_28de80_-_a20e7bbe2963a15514e7cec2f81e72b89c34765f.jpg
    144.3 KB · Views: 15
Stop searching mke mtarajiwa na wakusudi lako huwa anakujaga tu utajikuta tu huwezi kupingana na shauri hilo, ila wale wakutafuta aisehh huwa ni majanga nina mke mzuri mimi sikutafuta alijileta taratibu kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…