Mwanamke unaomba pesa after few date kosa kubwa

mtu mpaka akuombe ujue amebanwa na anaona mtu wa kwanza kumshirikisha ni mpenz wake,, au unataka amwambie nani jamani na wewe upo[emoji4]
Kuna shida halafu kuna tamaa. Ukweli ni kuwa mabinti wengi miaka hii mnamitazamo mufilisi juu ya maisha.

Unatoka kwenu haujui lolote kuhusu maisha ya kujitegemea. Sasa unachojua wewe ni kuomba hela ili utumie vile unavyojisikia. Shida zenyewe sasa unataka ununuliwe bundle ya internet, mwanaume anasema ngoja ajitolee kukununulia.

Bundle ya 30+ ya mwezi ili usipate tabu na kutokuwa hewani. Sasa kwa akili ya mtu asiyejitambua kama most of you, utaingia Instagram, TikTok, YouTube, Facebook, siku nzima yaani unakuta umenunuliwa GB 40+ utaziteketeza ndani ya siku tatu tu au wiki. Then unamwambia tena kifurushi kimesha akununulie tena.

Huko mtandaoni kwenye unavyofuatilia ni upumbavu tu wa akina kajala wamefanya nini kwa harmonize, na mara kwa mange.

Kidogo umepita pita mtandaoni umeona video ya mdangaji kavaa nguo fulani au kaweka kucha fulani au kavaa viatu fulani na wewe unatamani unaanza kusumbua unadanganya unashida ya umuhimu upewe pesa ukanunue huo upuuzi wako roho iridhike.

Miezi 6 ya mahusiano hakuna kitu umechangia kwa mwenzako ambacho ni positive kwenye mahusiano yenu na kuwasaidia.

Wakati kuna mdada mwenzako anapambana kuuza hata juice akipata hata 20,000 nakwenda mnunulia mchumba wake hata boxer kuonyesha yupo na yeye, atakwenda kutafuta hata vicoba akope wanunue vitu vya ndani.

Mimi mwanamke akakope anunue vitu vya ndani aiseee nitamlipia hilo deni na nitajitafuta nimpatie hata pesa ya ziada.

Sio unakuja kunifuja mapato yangu hafifu unanirudisha nyuma nguruwe wewe .

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Aisee kumbe mitazamo ipo hivi
Hivi Kwa mnavojisifu ujinga na kupenda ngono kuna mwanamke asie na akili atakuja kutoa uchiwake Kwa wanaume dizaini yenu labda awe amelogwa ishini Kwa staha mtapata wanawake wenye staha na hayo mnayoyaona yanasadikika yapo na wanawake wema wapo pia nasema mtaombwa Hela na mwakaujao mtaanza kuombwa na Figo
 
Na ndio maana wengi wenu mnaishia kuwa single mother na kushindwa hata kutimiza hayo malengo yenu kwa wakati kwa sababu za ujuaji na dharau..zilizojaa kwenye vichwa vyenu na hatima yake mnazalishwa na vijana wahovyo kabisa...
Hakuna mwanaume mwenye akili ataweka ndani mwanamke ambaye hana uwezo wa kumultiply hata 10,000 iwe 20,000 au 30,000. Huyo mwanamke ni liability na atakurudisha nyuma sana.

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
It depend;
HApa tunsongelea timing, ile tu mnaanza kuwa na ukaribu ndani ya siku moja hadi wiki....hapa jitahidini kufa na shida zenu, sio muda sahihi kufanya hivyo.

But...but Nimewahi kimsaidia day one sababu ilikuwa shida yenye mashiko...haikuwa tatizo kwangu...

Mwanzoni mwa uhisiano tafadhali usilete drama za:
Kodi
Nywele
Gas na upuuzi kama huu...huwa tunashtuka kuwa hskuna penzi bali ni kugeuzwa mradi.

Leejay49 sio kila mwanaume ni mpenda ngono na kila aliye mrembo...
Mtu kama mimi ni muumini wa mapenzi ya kweli.
Ukiniletea drama...hapa sio mahala pake kabisa...huyu ni mimi
umeongea point sana, nimependa...hao wa hizo drama sijui nywele, gasi na vitu kama hivyo hata mwenyewe sipendezwi lakini kuna zile shida mtu anapata gafla na anaona mtu wa karibu ni wewe mpenzi wake lazima akushirikishe kama ni ndani ya uwezo wako na unawiwa you just help her na atakuthamini sana....
 
Hivi Kwa mnavojisifu ujinga na kupenda ngono kuna mwanamke asie na akili atakuja kutoa uchiwake Kwa wanaume dizaini yenu labda awe amelogwa ishini Kwa staha mtapata wanawake wenye staha na hayo mnayoyaona yanasadikika yapo na wanawake wema wapo pia nasema mtaombwa Hela na mwakaujao mtaanza kuombwa na Figo
Ujinga wapi wakati na nyie mnafurahia hapa jf. Kwani raha ya mapnzi ni nini kama sio ngono. Acheni utani bwana mahusiano ni ngono hamna zaidi ya hapo
 
Kuna shida halafu kuna tamaa. Ukweli ni kuwa mabinti wengi miaka hii mnamitazamo mufilisi juu ya maisha.

Unatoka kwenu haujui lolote kuhusu maisha ya kujitegemea. Sasa unachojua wewe ni kuomba hela ili utumie vile unavyojisikia. Shida zenyewe sasa unataka ununuliwe bundle ya internet, mwanaume anasema ngoja ajitolee kukununulia.

Bundle ya 30+ ya mwezi ili usipate tabu na kutokuwa hewani. Sasa kwa akili ya mtu asiyejitambua kama most of you, utaingia Instagram, TikTok, YouTube, Facebook, siku nzima yaani unakuta umenunuliwa GB 40+ utaziteketeza ndani ya siku tatu tu au wiki. Then unamwambia tena kifurushi kimesha akununulie tena.

Huko mtandaoni kwenye unavyofuatilia ni upumbavu tu wa akina kajala wamefanya nini kwa harmonize, na mara kwa mange.

Kidogo umepita pita mtandaoni umeona video ya mdangaji kavaa nguo fulani au kaweka kucha fulani au kavaa viatu fulani na wewe unatamani unaanza kusumbua unadanganya unashida ya umuhimu upewe pesa ukanunue huo upuuzi wako roho iridhike.

Miezi 6 ya mahusiano hakuna kitu umechangia kwa mwenzako ambacho ni positive kwenye mahusiano yenu na kuwasaidia.

Wakati kuna mdada mwenzako anapambana kuuza hata juice akipata hata 20,000 nakwenda mnunulia mchumba wake hata boxer kuonyesha yupo na yeye, atakwenda kutafuta hata vicoba akope wanunue vitu vya ndani.

Mimi mwanamke akakope anunue vitu vya ndani aiseee nitamlipia hilo deni na nitajitafuta nimpatie hata pesa ya ziada.

Sio unakuja kunifuja mapato yangu hafifu unanirudisha nyuma nguruwe wewe .

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
Hawa Malaya hawajitambui na wanawapata wanaume amabao hawana focus ya Maisha wanawakwangua pesa zao
 
It depend;
HApa tunsongelea timing, ile tu mnaanza kuwa na ukaribu ndani ya siku moja hadi wiki....hapa jitahidini kufa na shida zenu, sio muda sahihi kufanya hivyo.

But...but Nimewahi kimsaidia day one sababu ilikuwa shida yenye mashiko...haikuwa tatizo kwangu...

Mwanzoni mwa uhisiano tafadhali usilete drama za:
Kodi
Nywele
Gas na upuuzi kama huu...huwa tunashtuka kuwa hskuna penzi bali ni kugeuzwa mradi.

Leejay49 sio kila mwanaume ni mpenda ngono na kila aliye mrembo...
Mtu kama mimi ni muumini wa mapenzi ya kweli.
Ukiniletea drama...hapa sio mahala pake kabisa...huyu ni mimi
Kweli kabisa unatongoza mtu anaweza kucha na nguompya kila weekend Hana kazi hata ya kumuingizia buku hajwah Wala hajajaribu kutoa wazo la kupata elf 10 Huwa wanategemea Nini ndo matundayake hayo
 
umeongea point sana, nimependa...hao wa hizo drama sijui nywele, gasi na vitu kama hivyo hata mwenyewe sipendezwi lakini kuna zile shida mtu anapata gafla na anaona mtu wa karibu ni wewe mpenzi wake lazima akushirikishe kama ni ndani ya uwezo wako na unawiwa you just help her na atakuthamini sana....
Naam mimi ni mtu mzima, kuna viujinga nimevivuka.
Ukiniletea drama naelewa na shida genuine pia naelewa.

Sina tatizo kumsaidia mtu ikiwa muda huo zipo.
I hate dramaz.....nikihisi kinds of drama sitajali uzuri wako...ninakufuta papo hapo.
But ikiwa umenyooka sina tatizo kukusapoti regardless tumeonana leo au jana
 
Kweli kabisa unatongoza mtu anaweza kucha na nguompya kila weekend Hana kazi hata ya kumuingizia buku hajwah Wala hajajaribu kutoa wazo la kupata elf 10 Huwa wanategemea Nini ndo matundayake hayo
Kama unanisema vile😂😂
Niliwahi kukutana na hivyo..
Within no time kila wiki nguo mpya..
Shida kibao..
Hapo hata hujamtongoza jst mmekuwa na ukaribu tu
 
Kweli kabisa unatongoza mtu anaweza kucha na nguompya kila weekend Hana kazi hata ya kumuingizia buku hajwah Wala hajajaribu kutoa wazo la kupata elf 10 Huwa wanategemea Nini ndo matundayake hayo
Kuna wakati mnatulaumu but wanaume tumekutana na mengi...
Mengine hatuwezi kuyaongea humu but kuna wanawake wa ajabu sana.

Lakini pia kuna wanawake wema sana sana...hawa wabarikiwe mnoo.
 
Back
Top Bottom