Red black
JF-Expert Member
- Nov 29, 2019
- 18,719
- 60,636
Anazingua anataka nianguke kwa presha😊Mkali amelewa nini leo!
kila likitajwa jina lako mwili unasisimka na mapigo ya moyo yanaenda Kasi.
Anazingua anataka nianguke kwa presha😊Mkali amelewa nini leo!
Itakuwa ni sukari haiko sawa, utakaa sawa tu😂Anazingua anataka nianguke kwa presha😊
kila likitajwa jina lako mwili unasisimka na mapigo ya moyo yanaenda Kasi.
Doh! SidhanItakuwa ni sukari haiko sawa, utakaa sawa tu😂
Halafu mkewe ni pambo la nyumba🤗Angemjibu baba yake kwamba, mke wake ni mama yake. Na ndio msiri wake. 😊
Hakikisha unajitunzia pesa yako mwenyewe ya akiba, ikiwezekana mkeo asijue kama ni wale wanawake wanaobadilika badilika.Wanawake watunze pesa pia maana mwanaume aliyeata mafao sio wa kumuamini sana.
AyePowerful
Ni pressure?Doh! Sidhan
Halafu mkewe ni pambo la nyumba🤗
Kwanini mkuu?Kuna ndoa Moja naona kabisa yule mwanamke anaenda kuuawawa siku sio nyingi ..
Aye maana popote likitajwa jina lako mwili unasisimka na mapigo ya moyo yanaenda Kasi.Ni pressure?
Yani unamuoa mtu ambaye huwezi kumueleza magumu yako?Si ndio! Kuna mke na mama.
Tatizo ni nini?Kuna ndoa Moja naona kabisa yule mwanamke anaenda kuuawawa siku sio nyingi ..
Aise uje nikusindikize hospitali hii hali sio nzuri!Aye maana popote likitajwa jina lako mwili unasisimka na mapigo ya moyo yanaenda Kasi.
Amen naichukua hiiHakikisha unajitunzia pesa yako mwenyewe ya akiba, ikiwezekana mkeo asijue kama ni wale wanawake wanaobadilika badilika.
nikutese mara ya mwishoMnatutesa sana