Red black
JF-Expert Member
- Nov 29, 2019
- 18,719
- 60,636
Ni kamzozo...Aise uje nikusindikize hospitali hii hali sio nzuri!
staki jina lako litajwe kiholela mam😊
Ni kamzozo...Aise uje nikusindikize hospitali hii hali sio nzuri!
Anza safari mara moja!Ni kamzozo...
Mambo si ndio haya sasa 😁 hela zaNgu utatunza weweAnza safari mara moja!
Upate wazimu!😆Mambo si ndio haya sasa 😁 hela zaNgu utatunza wewe
Yani unamuoa mtu ambaye huwezi kumueleza magumu yako?
Mtuonee hurumaUmeandika ukweli mtupu.
I'm real sina masihara katika hili😊Upate wazimu!😆
Aisee nikiingia kwenye ndoa mnipike xmas🙌🏾Sio kila kitu ni cha kumueleza mke.
Mke ni mke, mama ni mama.
Sio kila ushauri wa mke ni wa kuufanyia kazi. 😊
Lete huo muamala kwanza ushaanza kunitia wazimu😎I'm real sina masihara katika hili😊
Anzeni ninyi kujihurumiaMtuonee huruma
Aisee nikiingia kwenye ndoa mnipike xmas🙌🏾
We Re cooked🫢 Marriage is scam..
Mimi wa kwangu ananipaga Kila mwezi Milioni 1Jana jioni niliweza kuwatembelea wazee kadhaa waliostaafu na wengine wafanyabiashara wakubwa kiasi (mitaji yao bilioni kadhaa).
Wengine wametelekeza majengo na biashara zao na kuamia mikoa mingine ili kuepuka fedheha aliyoipata kwenye mahusiano kwa mkewe.
Wengine wameamua kuoa mara nyingine baada ya wake wao wa muda mrefu kuwaacha, na kwenda kwenye mahusiano mengine.
Wengine wameamua kuwa walevi kwa kushinda baa ili kuepusha migongano na shari kwa mkewe.
Watoto wamejikita upande wa mama na kutufanya sisi wanaume tulio wasomesha tuonekane hatuna thamani.
Ni bora mtoto wa kwanza awe wa kike, anaweza kuwa na huruma kidogo kwa sisi baba zao; ila kama mtoto wa kwanza ni wakiume, atashirikiana na mama yake kukuangamiza.
Kama mwanaume, ishi maisha yako huku ukijua mwisho wa siku utajipambania mwenyewe.
Halo, ngoja niende zangu bar (club), nikasikilize mziki huku nikipata moja baridi maisha yasogee pamoja na kuosha macho kwa warembo wazuri.
Sawa nikifanikiwa kuingia nitakaa kimasta sana! Naona ni kama pambano fulani hivi🤔Ndoa mtego wa akili. Ukiingia kwenye ndoa na "expectations" zako kitakupata kitu dada yangu. 😊
Usiweke mayai yote kapu moja.
Sawa nikifanikiwa kuingia nitakaa kimasta sana! Naona ni kama pambano fulani hivi🤔
Mipango ya mama yako kivipi tena? Duuh!Kaa kimasta. Sema tuu wewe sio mwanaume na sio first born, kuna ile baba yako anakuuliza mipango ya mama yako! 😊
Ndio unabaki unashanga!
Wengine tunashindwa kudhibiti hisiaAnzeni ninyi kujihurumia