Mwanaume, tunza pesa yako itakayokulea wewe mwenyewe mpaka mwisho wa maisha yako, mwanamke sio ndugu yako

Mwanaume, tunza pesa yako itakayokulea wewe mwenyewe mpaka mwisho wa maisha yako, mwanamke sio ndugu yako

Dah huu mpambano bado mchanga kabisa, mwanamme anaaswa hivyo na mwanamke anaaswa the same tu mwanamme si ndugu yake.
Kivumbi uwanjani.Wacha majasho yatumwagike.
57CB62F2-8BAA-470C-BE12-1F781C70D83E.jpeg
Ni mtafutano!🙌🏾
 
Jana jioni niliweza kuwatembelea wazee kadhaa waliostaafu na wengine wafanyabiashara wakubwa kiasi (mitaji yao bilioni kadhaa).

Wengine wametelekeza majengo na biashara zao na kuamia mikoa mingine ili kuepuka fedheha aliyoipata kwenye mahusiano kwa mkewe.

Wengine wameamua kuoa mara nyingine baada ya wake wao wa muda mrefu kuwaacha, na kwenda kwenye mahusiano mengine.

Wengine wameamua kuwa walevi kwa kushinda baa ili kuepusha migongano na shari kwa mkewe.

Watoto wamejikita upande wa mama na kutufanya sisi wanaume tulio wasomesha tuonekane hatuna thamani.

Ni bora mtoto wa kwanza awe wa kike, anaweza kuwa na huruma kidogo kwa sisi baba zao; ila kama mtoto wa kwanza ni wakiume, atashirikiana na mama yake kukuangamiza.

Kama mwanaume, ishi maisha yako huku ukijua mwisho wa siku utajipambania mwenyewe.

Halo, ngoja niende zangu bar (club), nikasikilize mziki huku nikipata moja baridi maisha yasogee pamoja na kuosha macho kwa warembo wazuri.​
Kama ulihendekza michepuko wakati ukiwa Kijana na hela ulikuwa nazo, tunakusubiri Nguvu za kiume zikianza kushika na uzee juu, utakoma tu
 
Kama ulihendekza michepuko wakati ukiwa Kijana na hela ulikuwa nazo, tunakusubiri Nguvu za kiume zikianza kushika na uzee juu, utakoma tu
Weka akiba, huko uzeeni hakuna mapenzi, ni kukimbiwa tu pamoja na kupigwa matukio.
 
Back
Top Bottom