Mwanaume ukikosa hela, mpenzi wako atachukuliwa mbele ya macho yako

Dunia haina huruma kabisa
 
Ndiyo naamini wapo, mfano Mimi enzi izo nilikataa wenye gari, siwez nikaliwa ovyo aisee kisa gari.... Sasa sijajua wengine km wapo, Kwa sbb nimejiona nilivyokuwa Mimi.
Ulipita UDSM?
Mwaka gani?
 
Hujaelewa hataa, soma tena. Sijawaongelea girls na sijatoa povu. Nimewaongelea hao boys ambao wengi ni njaa kali afu wanajiingiza kwenye mapenzi hovyo hovyo, wanasahau lengo la wao kuwa pale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…