Mwanaume: Ukiwa mkristo kabla ya kuoa tafakari sana usikurupuke

Yani ujinga wako binafsi ndio unataka kuamini kila mtu ni mjinga sawa na wewe?

Vyeti vya ndoa vinatoka serikalini, sasa nani anakuzuia kuowa bomani?

Na huyo mwanamke kama humtaki kafile divorce mahakamani na siyo kupeleka mambo yako kanisani.
Kabisa, hata mi namshangaa unapelekaje kanisani haya mambo?
 
Hamjanielewa tatizo si talaka maana najua inatoka mahakamani tatizo ni ushirika na kutokutambulika ndoa yangu mpya baadae
 
Kabisa, hata mi namshangaa unapelekaje kanisani haya mambo?
Nakufahamisha ndoa sikufunga kwa mjomba ako nilifunga kanisani so hata ukianza mahakamani lazima wakurudishe kanisani kwanza
 
Kwenye ndoa wakristo tunateseka saana inabidi waumini tuandamane aseeeh
Kwani umelazimiswa kuabudu huko? Hamia kwa Nabii Shila au kwa mfalme Zumaridi, au kama vipi achana na ukristo. Uislamu upo na sheria zao za ndoa nzuri sana...wake wa 4, akikuzingua unapiga talaka bila kumshirikisha mtu.
Ni wewe tu kuamua unataka kuishi vipi hapa duniani, umepewa uhuru unashindwa kuutumia
 
Kwa uzoefu huu ushavunja ngapi dada..?😂
 
Aisee,kumbe bado kuna wanaume?![emoji848][emoji108]nimekupenda! Km ana akili afuate huu ushauri!
 
Jmn kumsamehe mtu ni lazima(kabisa Mungu kaagiza na ni nzuri kwa afya yako pia),ila haimaanishi kuwa ukimsamehe lazima urudiane nae,hapana!
 
Ndugu najua mahakama ndio inayotoa talaka ila nilichokua nataka ni kupata uhalali kikanisa ili niweze kufunga ndoa tena kanisani hapo baadae.... Ila last option utakua hiyo
Uhalali kikanisa sio rahisi!
We pata divorce yako kwanza uone km unashindwa kufunga ndoa !
Achana na hizo habari za kanisa, watakupotezea muda!
Mungu ndio mhimu sio kanisa
 
Tatizo ni imani uliyoizoea ila nimeamua ntasali hapo hapo kibishi hata wakinitenga
Unaposema imani unamaanisha nn?
Imani weka kwa Mungu ww sio Kwenye kanisa,dhehebu au mtumishi!
Haya mambo ni taratibu za duniani humu,angalia Mungu anasemaje ndo imani
 
Mkuu bado talaka ndo inazingua na mi nataka kumuoa binti mwenye imani ya kiroho kweli kweli sa nawaza bomani hatokubali mpaka ni clear ili swala ambalo church inaniwekea usiku
Shida ni km huyo binti anataka kuolewa hapohapo kanisani kwenu,ila km yupo tayari kufunga ndoa kanisa lingine mbona haina shida
 
Church hawakuwekei usiku ni wewe hujaamua. Ondoka hapo church nenda ngazi ya juu yake...ukifika huko utarudishwa kanisani kwako na itakuwa rahisi. Ila jiandae inaweza chukua hata 4 yrs kumaliza hiyo process.
Dear huyu ni msabato sio Rc!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…