Juice world
JF-Expert Member
- Jun 7, 2022
- 1,982
- 2,706
Tafuta hela masikini weweunamshangaa mwanaume kuwa maskini haushangai nchi inakusanya kodi kedekede na bado maskini
kama unavyo mshangaa mwanaume maskini nae anakushangaa hivyo hivyo umepataje hela
Haina uhalisiaMwanaume unakuwaje masikini yaani unalialia njaa kabisa na midevu Yako unataka sisi vidume wenye pesa tukuhurumie yaani dada yangu hawezi kuolewa na mwanaume lofa sababu ni mkosi kwenye familia yaani ukoo wetu atakua kaupaka Mavi
Tafuta hela masikini weweInawezekana ww unatoa jicho la tatu tofauti na wanaume halisi
Sawa mamaaTafuta hela masikini wewe
Mwanaume mwenye hela haongei hovyo lofa wewe.unamshangaa mwanaume kuwa maskini haushangai nchi inakusanya kodi kedekede na bado maskini
kama unavyo mshangaa mwanaume maskini nae anakushangaa hivyo hivyo umepataje hela
Tafuta hela masikini weweSawa mamaa
Tafuta hela masikini weweMwanaume mwenye hela haongei hovyo maskini wewe.
Kwahiyo huyo dada yako utakuwa unamgegeda wewe sio?yaani dada yangu hawezi kuolewa na mwanaume lofa sababu ni mkosi kwenye familia yaani ukoo wetu atakua kaupaka Mavi
Mimi nikikaa na wewe,utajiona wewe ni maskini kabisa.Tafuta hela masikini wewe
Hela za masharti, Bora kufa maskini unaweza kumjibu Mungu kuliko pesa zako ambazo ni asilinia 150 kuingiza kuzimu.Mwanaume unakuwaje masikini yaani unalialia njaa kabisa na midevu Yako unataka sisi vidume wenye pesa tukuhurumie yaani dada yangu hawezi kuolewa na mwanaume lofa sababu ni mkosi kwenye familia yaani ukoo wetu atakua kaupaka Mavi
homeboyiii una nyata kinomaMwanaume unakuwaje masikini yaani unalialia njaa kabisa na midevu Yako unataka sisi vidume wenye pesa tukuhurumie yaani dada yangu hawezi kuolewa na mwanaume lofa sababu ni mkosi kwenye familia yaani ukoo wetu atakua kaupaka Mavi
Tunaomba historia ya mali alizomiliki baba yakoMwanaume unakuwaje masikini yaani unalialia njaa kabisa na midevu Yako unataka sisi vidume wenye pesa tukuhurumie yaani dada yangu hawezi kuolewa na mwanaume lofa sababu ni mkosi kwenye familia yaani ukoo wetu atakua kaupaka Mavi