Mwanaume unakuwaje masikini wakati Mimi mtoto mdogo Nina pesa

Sisi maskini wacha tukufate PM. Tunaweza kuambulia hata elfu mia moja ya mtaji👽🥱
 
Lakini nilisikia mtandaoni watu wakilalamika kuwa umewatapeli hela.

Kwamba uliwadanganya utawaunganisha na chama cha FREEMASON (Kiingilio ilikuwa 100k). Ila cha ajabu uliwapiga hela, Je., Kweli wewe ni tapeli au wanakuzushia?🤔😋.
 
Kumbe hii takataka ipo humu
Hako kajamaa kanajiita tu hilo jina wala huyo sio Chief mwenyewe,
Haka katoto kamepigika na maisha hivyo njia pekee iliyobaki ni kujifariji kwa maandishi tu,

Kana ID's kibao hapa JF,halafu kila mara kanapigwa spana hapa kisha kanabadili ID tena,
ChristopherPaul15 ilipigwa spana haitumii tena,kuna ile ID nyingne sijui Arsenal shooter na nyingine kanajiita Football,

Kifupi haka kapimbi kanajifurahisha tu,hivyo msikachukulie serious sana,ila ubaya ni kwamba anachafua jina la Chief mwenyewe.
 
Lakini nilisikia mtandaoni watu wakilalamika kuwa umewatapeli hela.

Kwamba uliwadanganya utawaunganisha na chama cha FREEMASON (Kiingilio ilikuwa 100k). Ila cha ajabu uliwapiga hela, Je., Kweli wewe ni tapeli au wanakuzushia?🤔😋.
Hahahah kwa hiyo walitoa hela waunganishwe na frimason?hii nchi bwana yaani mtu asifikiri afanye nini ili 100K izae 100K ingine anaenda kutumia mtu amuunge na ujinga.

Acha waibiwe tu hao nyang‘au waliopewa akili na hawazitumii.
 
Yaan afrika maajabu hayajawaii kuisha..
Una kuta jamaa kaunga mbs za jero..yupo sebuleni kwa shemeji yake ananyanganyana remote na watoto wa shemeji.
Anakuja kujifariji humu...mwenye utajiri/ pesa sio malimbukeni.

Huwezi kuta ANAPIGA picha na PESA 😊 huwezi kuta ana show off za kifala fala..maskini akipata matako hulia mbwataa

YOU'RE A SUCKER !
Ana tabia fulani ya kubandika shilingi elfu 10000 kwenye mbao Kila upande, sasa sijui mbao zikiisha atafanyeje.
 
Hako kajamaa kanajiita tu hilo jina wala huyo sio Chief mwenyewe,
Haka katoto kamepigika na maisha hivyo njia pekee iliyobaki ni kujifariji kwa maandishi tu,

Kana ID's kibao hapa JF,halafu kila mara kanapigwa spana hapa kisha kanabadili ID tena,
ChristopherPaul15 ilipigwa spana haitumii tena,kuna ile ID nyingne sijui Arsenal shooter na nyingine kanajiita Football,

Kifupi haka kapimbi kanajifurahisha tu,hivyo msikachukulie serious sana,ila ubaya ni kwamba anachafua jina la Chief mwenyewe.
Tafuta hela masikini wewe
 
Back
Top Bottom