Juice world
JF-Expert Member
- Jun 7, 2022
- 1,982
- 2,706
- Thread starter
- #61
Tafuta hela masikini weweYaan afrika maajabu hayajawaii kuisha..
Una kuta jamaa kaunga mbs za jero..yupo sebuleni kwa shemeji yake ananyanganyana remote na watoto wa shemeji.
Anakuja kujifariji humu...mwenye utajiri/ pesa sio malimbukeni.
Huwezi kuta ANAPIGA picha na PESA 😊 huwezi kuta ana show off za kifala fala..maskini akipata matako hulia mbwataa
YOU'RE A SUCKER !