Mwanaume unakuwaje masikini wakati Mimi mtoto mdogo Nina pesa

Mwanaume unakuwaje masikini wakati Mimi mtoto mdogo Nina pesa

Mwanaume unakuwaje masikini yaani unalialia njaa kabisa na midevu Yako unataka sisi vidume wenye pesa tukuhurumie yaani dada yangu hawezi kuolewa na mwanaume lofa sababu ni mkosi kwenye familia yaani ukoo wetu atakua kaupaka Mavi
We unapakwa mafuta halafu unapewa hela kuja kuziringishia social media, we bwabwa.
 
Mwanaume unakuwaje masikini yaani unalialia njaa kabisa na midevu Yako unataka sisi vidume wenye pesa tukuhurumie yaani dada yangu hawezi kuolewa na mwanaume lofa sababu ni mkosi kwenye familia yaani ukoo wetu atakua kaupaka Mavi
unadhani kila mtu anafuga mijoka kama wewe plus kukatwa mavidole mguuni nyaaambaaaaffffffff , huna moral authority ya kutukana watu wewe kima wenzio wana hustle kweli sio kutemewa hela na majoka Mxiuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu.
 
Yaan afrika maajabu hayajawaii kuisha..
Una kuta jamaa kaunga mbs za jero..yupo sebuleni kwa shemeji yake ananyanganyana remote na watoto wa shemeji.
Anakuja kujifariji humu...mwenye utajiri/ pesa sio malimbukeni.

Huwezi kuta ANAPIGA picha na PESA 😊 huwezi kuta ana show off za kifala fala..maskini akipata matako hulia mbwataa

YOU'RE A SUCKER !
Dokta taratibu,. Wasisikie majirani nje huku😂
 
Back
Top Bottom