mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
mwenge ni wa ccm au wa serikali ?
Umekaa ki ccm zaidi ukawa tukiingia huo mwenge utabadilishwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mwenge ni wa ccm au wa serikali ?
hivi unamkumbatia babu saa ngapi.? saa 9 hii watu unawapandikizia chuki za kidini
Wakristo wanaamini kuwepo kwa huo moto na kuwaka kwake kunamaanisha Yesu yupo hapo, kwa hiyo tunazungushiwa nchi nzima na miradi inazunduliwa kwa uwepo wa Yesu.
Hiyo chuli au ukweli, bisha kama si ukweli na ushahidi nimeuweke ni ibada ya Kikatoliki na Mkanisani mwenu haukosi huo mwenge.
Achana na mimi jadili hoja yangu yenye ushahidi na uipinge kwa ushahidi.
Akili yangu inashindwa kukataa ya kwamba kukimbiza Mwenge wa Uhuru kila mwaka sio ibada ya kishetani au kishirikina kwa vile chombo au kifaa hicho (Mwenge) huwashwa moto utoao miali na moshi lakini pia huabudiwa kama vile una uhai,unamulika na kuleta matumaini, upendo , amani, maendeleo na hivyo hutolewa sadaka za kuteketezwa kama kuchinja ng'ombe, wanyama pori na mafuta ya kuteketezwa.
Ibada hizi zilishamiri sana zile za ukomunisti ambapo iliaminika hakuna Mungu na hivyo ungeweza kuabudu chochote au mtu kama vile Wachina walivyoaminishwa kua Mao Tsetung ndiye mungu wao.
Nadhani imefika wakati tujadiliane kuhusu dude hili (Mwenge) na viongozi wa dini mtusaidie kuliepusha taifa na hasira ya Mungu, kwani ukiondoa wapagani, ushirikina umekatazwa katika vitabu vyote vitakatifu, lakini pia Katiba ya JMT inasema Tanzania haina dini ila watu wake wana dini.
Pumba ya mwaka nimekudharau
Tafiti hupingwa kwa tafiti na sio porojo
wewe ndio umejidharaulisha hapo!!!
Soma vizuri alichokichukua, sio kukurupuka acha kujidharaulisha
Soma vizuri alichokichukua, sio kukurupuka acha kujidharaulisha
Najua umenielewa tu
pole sana dawa imeingia Eeeeh..
Ni ibada ya kishetani ya Kikatoli aliyotuletea mtu fulani hapa kwenye nchi yetu.
Wakristo wanaamini kuwepo kwa huo moto na kuwaka kwake kunamaanisha Yesu yupo hapo, kwa hiyo tunazungushiwa nchi nzima na miradi inazunduliwa kwa uwepo wa Yesu.
Hii nchi tunaingizwa kwenye kufuru tukitaka tusitake, huo ndiyo Ukristo na hizo ndiyo sababu za watu fulani kutafutiwa "utakatifu" wasiokuwa nao.
Kuwasha mwenge sijuwi, ulete tumaini sijuwi nini, zote ni ibada za Kikristo, hakuna zaidi. Kuna tumaini linaletwa na moto? moto unaunguza tu.
Waislam jiepusheni nao huo mwenge, mnaabudishwa kiakafiri mkikata msitake bila kujijuwa.
Tafadhali soma vizuri mada kabla ya kutoa mchango wako,
Mleta mada hakua na hata chembe moja ya udini ndio maana akasema turejee maandiko matakatifu ya ki kirsto na ki islam kama si machukizo kwa Mungu .