Mwenge wa Uhuru upo kwa faida ya nani?
Ukitaka kujua faida ya mwenge, jaribu kuuzima mbele ya umati wa watu, utaona faida yake...
 
Hapo awali mwenge ulifanya yafuatayo:
1. Ulimulika mipaka yote ya Tanzania dhidi ya maadui
2. Ulileta matumaini penye kukata tamaa
3. Ulileta upendo penye chuki
4. Ulileta heshima penye dharau
Huo ndio ulikuwa mwenge wa Nyerere.
Mwenge wa sasa hivi umekaa kifisadifisadi tu, lakini ukiweza kusimamiwa na wabunifu waweza kufanya mambo ya maana sana, mfano kuhamasisha halambee mbalimbali, kutangaza kampeni mbalimbali kama za kuzuia maradhi, au kuibua miradi, kutangaza sera fulani fulani au hata kutangaza miswaada ya sheri wakati inajadiliwa kabla ya bunge kuifanyia maamuzi. Na ingefaa ikimbizwe mara mbili ndani ya miaka mitano ya ndani ya kipindi cha utawala wa rais.
 
sasa hv unatumika kuonesha makali ya mgao wa umeme,wananchi muendelee kutumia tochi na vibatari,nchi haina umeme wala haina mpango wa kuwa nao!
 
Akili yangu inashindwa kukataa ya kwamba kukimbiza Mwenge wa Uhuru kila mwaka sio ibada ya kishetani au kishirikina kwa vile chombo au kifaa hicho (Mwenge) huwashwa moto utoao miali na moshi lakini pia huabudiwa kama vile una uhai,unamulika na kuleta matumaini, upendo , amani, maendeleo na hivyo hutolewa sadaka za kuteketezwa kama kuchinja ng'ombe, wanyama pori na mafuta ya kuteketezwa.

Ibada hizi zilishamiri sana zile za ukomunisti ambapo iliaminika hakuna Mungu na hivyo ungeweza kuabudu chochote au mtu kama vile Wachina walivyoaminishwa kua Mao Tsetung ndiye mungu wao.

Nadhani imefika wakati tujadiliane kuhusu dude hili (Mwenge) na viongozi wa dini mtusaidie kuliepusha taifa na hasira ya Mungu, kwani ukiondoa wapagani, ushirikina umekatazwa katika vitabu vyote vitakatifu, lakini pia Katiba ya JMT inasema Tanzania haina dini ila watu wake wana dini.
 
Ni ibada ya kishetani ya Kikatoli aliyotuletea mtu fulani hapa kwenye nchi yetu.

Wakristo wanaamini kuwepo kwa huo moto na kuwaka kwake kunamaanisha Yesu yupo hapo, kwa hiyo tunazungushiwa nchi nzima na miradi inazunduliwa kwa uwepo wa Yesu.

Hii nchi tunaingizwa kwenye kufuru tukitaka tusitake, huo ndiyo Ukristo na hizo ndiyo sababu za watu fulani kutafutiwa "utakatifu" wasiokuwa nao.

Kuwasha mwenge sijuwi, ulete tumaini sijuwi nini, zote ni ibada za Kikristo, hakuna zaidi. Kuna tumaini linaletwa na moto? moto unaunguza tu.

Waislam jiepusheni nao huo mwenge, mnaabudishwa kiakafiri mkikata msitake bila kujijuwa.

Soma kuhusu, "Sancturay Lamp", na ushahidi huu hapa:

Christian churches often have at least one lamp continually burning before the tabernacle, not only as an ornament of the altar, but for the purpose of worship. The General Instruction of the Roman Missal in the Catholic Church, for instance, states (in 316): "In accordance with traditional custom, near the tabernacle a special lamp, fueled by oil or wax, should be kept alight to indicate and honor the presence of Christ." The sanctuary lamp is placed before the tabernacle or aumbry in Roman Catholic, Old Catholic, and Anglican churches as a sign that the Blessed Sacrament is reserved or stored. It is also used in Lutheran churches to represent the presence of God. The sanctuary lamp may also be seen in Eastern Orthodox Churches.\\

A sanctuary lamp in a Roman Catholic church
 
hivi unamkumbatia babu saa ngapi.? saa 9 hii watu unawapandikizia chuki za kidini

Hiyo chuki au ukweli? bisha kama si ukweli na ushahidi nimeuweka, ni ibada ya Kikatoliki na Makanisani mwenu haukosi huo mwenge.

Achana na mimi jadili hoja yangu yenye ushahidi na uipinge kwa ushahidi.
 
FF hakuna Ukristo wa dhehebu lolote unaoamini katika mwenge na kama litakuwepo basi hilo latumiwa tu na shetani...

Kama ulivyobainisha ni kweli kuwa mwenge ni moja kati ibada za kishetani ila watu wengi wametiwa upofu katika hili...

Wakristo wanaamini kuwepo kwa huo moto na kuwaka kwake kunamaanisha Yesu yupo hapo, kwa hiyo tunazungushiwa nchi nzima na miradi inazunduliwa kwa uwepo wa Yesu.
 
Hiyo chuli au ukweli, bisha kama si ukweli na ushahidi nimeuweke ni ibada ya Kikatoliki na Mkanisani mwenu haukosi huo mwenge.

Achana na mimi jadili hoja yangu yenye ushahidi na uipinge kwa ushahidi.

Haka kasheria soon katakuhukumu tu, Mohamed Said
 
Last edited by a moderator:
FaizaFoxy

Umevurugwa wewe.... sasa hapa ukatoliki na ukristu unaingiaje? hapo mtoa mada amesema yake ya moyoni kuwa kitendo cha kuukimbiza mwenge kila mwaka ni kama kufanya ibada za kishetani, au matambiko cuz kuna sehemu wanachinja wanyama na pia wananchi wanachangishwa pesa (sadaka) ili huo mwenge uwezwe kukimbizwa.. huu mwenge ni mradi wa ccm na serikali yake ni kichaka cha kupiga deal kujipatia fedha haramu kwa kazi haramu.

Nilishawahi kutoa maoni yangu hapa kuhusu mwenge, nilishauri ungewekwa kwenye jumba la makumbusho ingeleta maana kubwa sana katika historia ya nchi yetu kuliko wanavyofanya sasa hivi kuteketeza pesa nyingi kwa jambo la ajabu eti unakimbiza moto si upunguani huu :what:

Kanisa katoliki halihusiki kwa namna yoyote ile na uanzishwaji wa mwenge cuz katika ibada zake hakuna mahali wanakimbiza mwenge au kuchinja wanyama kwa ajili ya mwenge...hii ni propaganda kama zilivyo propaganda nyingine.
 
Last edited by a moderator:
Akili yangu inashindwa kukataa ya kwamba kukimbiza Mwenge wa Uhuru kila mwaka sio ibada ya kishetani au kishirikina kwa vile chombo au kifaa hicho (Mwenge) huwashwa moto utoao miali na moshi lakini pia huabudiwa kama vile una uhai,unamulika na kuleta matumaini, upendo , amani, maendeleo na hivyo hutolewa sadaka za kuteketezwa kama kuchinja ng'ombe, wanyama pori na mafuta ya kuteketezwa.

Ibada hizi zilishamiri sana zile za ukomunisti ambapo iliaminika hakuna Mungu na hivyo ungeweza kuabudu chochote au mtu kama vile Wachina walivyoaminishwa kua Mao Tsetung ndiye mungu wao.

Nadhani imefika wakati tujadiliane kuhusu dude hili (Mwenge) na viongozi wa dini mtusaidie kuliepusha taifa na hasira ya Mungu, kwani ukiondoa wapagani, ushirikina umekatazwa katika vitabu vyote vitakatifu, lakini pia Katiba ya JMT inasema Tanzania haina dini ila watu wake wana dini.

mleta hoja alikusudia kuzungumzia mada ya mwenge ni ibada au la na hakua na chembe ya udini.
 
Huu mwenge ndio unaotupambaza kiasi tunaibiwa mamilioni serikalini lakini tumekaa kimya kama mzuzu.

Hili dude ni vyema lipelekwe makumbusho kwani ni alama ya umaskini na ushetani.
 
Ni ibada ya kishetani ya Kikatoli aliyotuletea mtu fulani hapa kwenye nchi yetu.

Wakristo wanaamini kuwepo kwa huo moto na kuwaka kwake kunamaanisha Yesu yupo hapo, kwa hiyo tunazungushiwa nchi nzima na miradi inazunduliwa kwa uwepo wa Yesu.

Hii nchi tunaingizwa kwenye kufuru tukitaka tusitake, huo ndiyo Ukristo na hizo ndiyo sababu za watu fulani kutafutiwa "utakatifu" wasiokuwa nao.

Kuwasha mwenge sijuwi, ulete tumaini sijuwi nini, zote ni ibada za Kikristo, hakuna zaidi. Kuna tumaini linaletwa na moto? moto unaunguza tu.

Waislam jiepusheni nao huo mwenge, mnaabudishwa kiakafiri mkikata msitake bila kujijuwa.
Tafadhali soma vizuri mada kabla ya kutoa mchango wako,
Mleta mada hakua na hata chembe moja ya udini ndio maana akasema turejee maandiko matakatifu ya ki kirsto na ki islam kama si machukizo kwa Mungu .
 
Back
Top Bottom