Hii post Mwanakijiji leo hii ataikana, au kujutia kwanini aliitoa
Kweli mkuu njaa mbaya sana.Atakuja na thread ya kuusifia very soon
'tumbo' hili lina miujiza mikubwa
[emoji1] [emoji1]Labda kulikuwa hakuna viberiti wakaona watumie mwenge kuwashia moto wa kuchoma nyavu haramu
OMG mbona umekuwa mkali hivi?