lukelo sakafu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2015
- 2,938
- 517
nembo ya magamba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wadau naomba mnijuze nini manufaa ya kukimbiza mwenge
Wakuu samahani kwa hili jaman naomba kuuliza hvi Mwenge unafaida gani au unasaidia nn katika nchi yetu wakuu maana ukitua sehem na kukesha basi ujue hapo kila vitu vibaya hufanyika. Mfano ulevi, umalaya, wizi na matukio mengine kibao so naomba kuelimishwa zaidi kuhusu hili.
MIMI NI MTANZANIA HALISI NINAE PENDA NCHI YANGU.
Ngoja ukawa tuchukue nchi huo mwenge tutauweka kando
Wanasambaza kondm mkuu kuna kupindi ulikesha pale moro asubuhi ziliokotwa kondom zilizokwishatumika ndoo tano
Du! Umeongeza chumvi.
Hauna faida yoyote siku hizi