Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakishalegea watatibiwa nanin mbona mahosipital dawa hazipo? Kukaa lumumba yataka moyoMwenge ni nuru y Taifa......unawamulika waovu wote wenye nia mbaya kwa Taifa washindwe na walegee.....ni muhimu sana kwa Taifa
Mwenge hauajiri ila wanateuliwa watu 7 tu,wote makada,tutakukagua rinda wewehata ukizuiliwa bado watu mtalalama tu.
oooh kulikua kuna watu wamejiajiri kupitia mbio za mwenge. na mambo mengine kedekede
Waswahili sisi tuna jema.
Mwenge ni nuru y Taifa......unawamulika waovu wote wenye nia mbaya kwa Taifa washindwe na walegee.....ni muhimu sana kwa Taifa
Hawezi kuwa na rinda huyo.Mwenge hauajiri ila wanateuliwa watu 7 tu,wote makada,tutakukagua rinda wewe
wewe si ulihamia ukawa na Lowasa, aliposhindwa kwa njama za Lubuvua na ccm, ukarudi CCM mwaka jana? wewe ni mchumia tumbo wala huelewi unachokitaka! Ulipoona Ukawa hakuna uchumia tumbo, ni mwendo wa kujitolea ukaamua kurejea huko ccm labda unaweza kukumbukwa! bahati mbaya hakuna anayekuamini tena! Pambaf!!kama sio mwenge si ungekuta Taifa limeangukia kwa waovu wa UKAWA......Mwenge ndio umewamulika mpaka wakashindwa uchaguzi.....la sivyo nchi ingeangamia hii
I doubt kama ulisoma comment yangu yote maana this is contrary to what I wrote.ina maana hujui faida za mwenge? MWENGE unakuza sana uchumi kwa mfano kila sehemu unapokwenda wiki moja kabla haujafika wajasiriamali wanakusanyika sehemu utakapolala wanafanya biashara kuanzia mama ntilie,wauza vinywaji , nguo n.k unakuza sana uchumi wa nchi na miradi mingi ya maendeleo inazinduliwa
Wanavyo Jidai kuwa mafuta ya mwenge sio Petro wala disel wala mafuta ya taa, mwenge unatumia mafuta pekee yenye ubora wake, bilioni kazaa tu mafutaMilad inyozindua sizan kama inafika b. 9 nawaza watengeneze mwenge wa solar manake cal me je atutumiiii kibatari tena.
Umeipenda??Mimi sioni umuhimu. Alafu mkuu. Nimependa signature yako tu
Utakuwa na nguvu ya Mungu kubwa sana.Watz gani mkuu? Mbona mimi sijawahi kuvutiwa na mwenge wala ccm?
Hiki kibatari kiwamulike mabashite wote nchini.Mwenge ni nuru y Taifa......unawamulika waovu wote wenye nia mbaya kwa Taifa washindwe na walegee.....ni muhimu sana kwa Taifa