msindikizaji
JF-Expert Member
- Aug 29, 2010
- 1,763
- 2,888
bhangi haijwahi kumuacha mtu salama...ila nimependa concept yake hahahahhahahahah
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani ulishalazimishwa kukesha?Naunga mkono mbio za mwenge kwakuwa miradi mbalimbali ya maendeleo inazinduliwa na kuhamasisha shughuli mbalimbali za kijamii.
Kinachonikera na kunisikitisha ni Tabia za kwenye mkesha wa mwenge, Ulevi , umalaya, ubakaji, wizi na tabia zote mbaya zinazoendana na hizo. Sasa nauliza hatuwezi kukimbiza huu mwenge bila kuweka mkesha. Hapa namaana ikifika usiku unazimwa halafu asubuhi unawashwa kazi inaendelea au hauzimwi lakini unawekwa sehemu mpaka asubuhi.
Naomba Viongozi walifikirie hili ili kuepusha mikasa hii inayojitokeza siku ya mkesha wa mwenge.
Usikurupuke kujibu boya wwKwani ulishalazimishwa kukesha?
Inawezekana kukawa na mwenge bila mkesha?Mungu anawaona
Lakini nyinyi mnaowasha moto, na kujifanyia silaha za mienge, tembeeni kwa mwanga wa moto huo, miali ya moto mliowasha nyinyi wenyewe. Mtakachopata kutoka kwa Mwenyezi-Mungu ni hiki: Nyinyi mtalala chini na mateso makali.Mwenge ni uduwanzi tu
Hapana mkuu tusiutukane mwengeMwenge ni uduwanzi tu
Wanaoandaa wanajua kinachoendeleaInawezekana kukawa na mwenge bila mkesha?
SureWanaoandaa wanajua kinachoendelea
Ukimwi hautaacha watu salama
Mkuu kama ulivyoeleza, mimi iliwahi kunitokea miaka fulani nikiwa kwenye kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya fulani.Naunga mkono mbio za mwenge kwakuwa miradi mbalimbali ya maendeleo inazinduliwa na kuhamasisha shughuli mbalimbali za kijamii.
Kinachonikera na kunisikitisha ni Tabia za kwenye mkesha wa mwenge, Ulevi , umalaya, ubakaji, wizi na tabia zote mbaya zinazoendana na hizo. Sasa nauliza hatuwezi kukimbiza huu mwenge bila kuweka mkesha. Hapa namaana ikifika usiku unazimwa halafu asubuhi unawashwa kazi inaendelea au hauzimwi lakini unawekwa sehemu mpaka asubuhi.
Naomba Viongozi walifikirie hili ili kuepusha mikasa hii inayojitokeza siku ya mkesha wa mwenge.
Afadhali unisaidie kueleza maana kuna watu hawaelewi.Mkuu kama ulivyoeleza, mimi iliwahi kunitokea miaka fulani nikiwa kwenye kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya fulani.
Mnalazimishwa kukesha huku miziki ikipigwa, pombe kunywewa na zinaa kutembea mtindo mmoja mpaka asubuhi!
Mtu usiyetumia kilevi ni karaha kubwa kukesha ukipigiwa kelele na walevi bila kuwa na hisia ya furaha.
Mwenge wenyewe unawekwa kwenye stand maalumu na kuzungukwa na walinzi walioshikamana mpaka kunakucha.
Hutoa moshi mzito wa diesel, hatari kwa afya za watu hasa wanaokesha wameuzunguka, lakini hawajali wala kutafakari hayo.
Kwa kweli hakuna umuhimu wowote wa mkesha wa mwenge
Wamekufanyia nini mkuu? Wamekubadishia kichwa cha uzi?Naona moderator wameamua kunichezea rafu kwenye huu uzi