Rose Of Africa
JF-Expert Member
- Apr 27, 2020
- 228
- 96
Kauli kama hizi kwa kiongozi unayetumainiwa na umati wa watu ni JANGA LA TAIFA!Wait...WHAT?!!
Kwa hiyo uchumi wa MTANZANIA siyo uchumi wa TANZANIA?! Kwa hiyo tunakaribisha wawekezaji wa kigeni ila watanzania wasioridhishwa na hali ya uchumi wanaambiwa wahamie Burundi? SHERIA ni MSAHAFU au BIBLIA kwamba haziwezi kubadilishwa?! Bunge ndio linatunga KANUNI?
Labda ni mimi wa darasa la saba B sielewi Daktari wa Uchumi anasema nini. Basi sawa.
Nchi imekua vururu vururu sana.Amwambie na bosi wake kama anaona tozo mpya ni kuwaumiza wananchi nae ahamie Burundi.
Nitamshangaa Rais Samia Kama atamuacha huyo muuaji kwenye iyo wizara ya Fedha, Mwigulu yupo hapo kimkakati,mama inatakiwa ampige chini haraka, hiyo WIZARA apewe dokta Kimei itamfaaKama mwigulu ni PhD wa uchumi na anajitapa tusimtilie mashaka basi hiyo wizara ni bora ateuliwe kibajaji au msukuma, hauwezekani Dr nzima wa uchumi pamoja team yake nzima ya wizara washindwe kujua double taxation ni illegal na ni uvunjaji wa sheria.
Mdomo wake tu unaonesha si mwadilifuJeuri ya namna hii huwa wanakuwa nayo Wanasiasa wa Tanzania tu. Sababu wanajua Wananchi wa Tanzania wanaowalipa mishahara na posho. hawana la kuwafanya.
fool!ACHA UMBEYA- WEKA LINK NZIMAOOL!
Tatizo Mwigulu Ni kiburi na muuaji mkubwa, haiwezekani atuletee kiburi,wakati huo mshahara unaomtia kiburi Ni Kodi zetu sisi wananchi, huyu mbwa hafai kupewa nafasi yoyote kwenye hii Nchi kumbeMwigulu hana nyota na Watanzania
Kila akitajwa kuwa waziri Fulani huwa anaandamwa sana.
NAsikia alimlipa mtu milioni 15 akaandikiwa na kupewa digrii. UD nayo imejaa uchafu tu!Huyu jamaa ni mpuuzi sana,udakitari wa falsafa sio kujitapa,ni matendo,yeye kuwa na ka PHD ka uchumi,anajiona mwamba,amefanya tafiti ngapi na wapi zilizoleta tija?watu waliokuwa wamebobea kwenye uchumi kama Prof Ndulu,walikuwa na CV nzito kuanzia UN,sasa huyu kasoma hajawahi hata kufundisha,au kufanyia kazi hako ka PHD lake,anatutambia hv
MAMA YETU RAIS WETU MPENDWA SSHJeuri ya namna hii huwa wanakuwa nayo Wanasiasa wa Tanzania tu. Sababu wanajua Wananchi wa Tanzania wanaowalipa mishahara na posho. hawana la kuwafanya.
Ni kauli iliyojaa dharau, kebehi, kiburi, ujivuni, ubazazi, ubaradhuli na ulaanatullah. Huyu amejikinai. Hawajali wananchi maskini wa Tanzania. Na watanzania sababu ni wapole sana nadhani hatuna la kufanya.
Tumpongeze anaupiga mwingi sana.
PhD yakuloga ili apendwe huku hapendeki.Huyu jamaa ni mpuuzi sana,udakitari wa falsafa sio kujitapa,ni matendo,yeye kuwa na ka PHD ka uchumi,anajiona mwamba,amefanya tafiti ngapi na wapi zilizoleta tija?watu waliokuwa wamebobea kwenye uchumi kama Prof Ndulu,walikuwa na CV nzito kuanzia UN,sasa huyu kasoma hajawahi hata kufundisha,au kufanyia kazi hako ka PHD lake,anatutambia hv
Uwiii???! PhD yake ichunguzwe. Hata hivyo wa-Tz hatushitushwi na kauli za viongozi hawa. Kuna mwingine, mkubwa tu, alishawahi kutamuka: "Hata msipotuchagua tutaunda serikali tu". Wamelewa na "sixty years in power".Jeuri ya namna hii huwa wanakuwa nayo Wanasiasa wa Tanzania tu. Sababu wanajua Wananchi wa Tanzania wanaowalipa mishahara na posho. hawana la kuwafanya.
Ni kauli iliyojaa dharau, kebehi, kiburi, ujivuni, ubazazi, ubaradhuli na ulaanatullah. Huyu amejikinai. Hawajali wananchi maskini wa Tanzania. Na watanzania sababu ni wapole sana nadhani hatuna la kufanya.
Tumpongeze anaupiga mwingi sana.
Tofauti yao ni rangi na tarehe ya kuzaliwaNi vigumu sana kumtofautisha Mwigulu na Mwendazake. mwigulu ana character zote za Magufuli
Dada punguza hasira.....ACHA UMBEYA- WEKA LINK NZIMA
Mkuu lipa kodi vibonzo haviwezi kuleta maendeleo
Ni vigumu sana kumtofautisha
Jeuri ya namna hii huwa wanakuwa nayo Wanasiasa wa Tanzania tu. Sababu wanajua Wananchi wa Tanzania wanaowalipa mishahara na posho. hawana la kuwafanya.