Rose Of Africa
JF-Expert Member
- Apr 27, 2020
- 228
- 96
Kauli kama hizi kwa kiongozi unayetumainiwa na umati wa watu ni JANGA LA TAIFA!Wait...WHAT?!!
Kwa hiyo uchumi wa MTANZANIA siyo uchumi wa TANZANIA?! Kwa hiyo tunakaribisha wawekezaji wa kigeni ila watanzania wasioridhishwa na hali ya uchumi wanaambiwa wahamie Burundi? SHERIA ni MSAHAFU au BIBLIA kwamba haziwezi kubadilishwa?! Bunge ndio linatunga KANUNI?
Labda ni mimi wa darasa la saba B sielewi Daktari wa Uchumi anasema nini. Basi sawa.
Halafu anautaka Urais si ataua watu huyu?
Unakosaje maadili
Jeuri
Kiburi
Fedhuli
Si maungwana.....
HAFAI ATUMBULIWE!