Mwigulu Nchemba awaambia Watanzania wahamie Burundi wasipoweza kulipa tozo za miamala

Akitoka kwenye Baraza hoja zinayeyuka kichwani?
 
 
Tumekumbuka Mramba alituambia tule Nyasi
 
Huyu kapewa madaraka ila rais hajajua kuwa nae anataka kitu cha mama Sasa sbu uwezo anao kwa nafasi yake ya uwaziri anafanyia mambo ambayo sidhani km raia watampa tena kula mama hiyo ndio furaha yake ili achukie kiti mama inatakiwa awe makini na watu kama hawa sijui kwnn Hadi mda huu yupo ofisini
 
Kama mwigulu ni PhD wa uchumi na anajitapa tusimtilie mashaka basi hiyo wizara ni bora ateuliwe kibajaji au msukuma, hauwezekani Dr nzima wa uchumi pamoja team yake nzima ya wizara washindwe kujua double taxation ni illegal na ni uvunjaji wa sheria.
watu wamepunguza kufanya miamala na hivyo alichotarajia kukikusanya hatakipata - bado anasema uchumi hautaathirika. Haoni kama kodi alizokuwa akipata kutoka kwenye faida ya kampuni za simu inaenda kupungua - Musukuma chapa sana hawa wasomi wa ajabu ajabu! (huu ni u dr. wa makaratasi tu)

Na hii kauli ya kuhamia Burundi, haina tofauti na ile ya kula majani lakini ndege ya rais inunuliwe -Basil Mramba

Kama kuna mtu alisikiliza mchango wa Kimei kwenye bajeti ataelewa kwa nini uchumi utaathirika, Huyu ni mtu ambaye practically amekuza CRDB kwa vitendo, msikilize na alichokisema juu ya tozo za simu ndicho kinatokea sasa!

 
Huyu chizi anaona nchi ni mali ya baba ake
 
Kama mwigulu ni PhD wa uchumi na anajitapa tusimtilie mashaka basi hiyo wizara ni bora ateuliwe kibajaji au msukuma, hauwezekani Dr nzima wa uchumi pamoja team yake nzima ya wizara washindwe kujua double taxation ni illegal na ni uvunjaji wa sheria.
Unaweza kumpa hata Juma Kaseja akaendesha vizuri kuliko huyu chizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…