Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akitoka kwenye Hilo Baraza hoja zinayeyuka kichwani!?labda anajua kujenga hoja zenye mashiko anapokuwa kwenye baraza la mawaziri
Akitoka kwenye Baraza hoja zinayeyuka kichwani?Yawezekana ndani ya Baraza la mawaziri anajijenga kwa kutoa hoja nzito na rais wanamkubali.. bahati mbaya nimefanya Kazi na wanyiramba ni jamii inayojikomba sanakwa viongozi wakuu hata kwa kusengenya wenzake ili aamniwe peke yake aachiwe.Lakini mwigulu afahamu njia hiyo haiwezi kumpa citizen number one.
Jeuri ya namna hii huwa wanakuwa nayo Wanasiasa wa Tanzania tu. Sababu wanajua Wananchi wa Tanzania wanaowalipa mishahara na posho. hawana la kuwafanya.
Ni kauli iliyojaa dharau, kebehi, kiburi, ujivuni, ubazazi, ubaradhuli na ulaanatullah. Huyu amejikinai. Hawajali wananchi maskini wa Tanzania. Na watanzania sababu ni wapole sana nadhani hatuna la kufanya.
Tumpongeze anaupiga mwingi sana.
[ATTACHHawa ni watu waliovimbiwa kodi zetu na hana hsehima kwa walipa kodi ss watu wakiamia Burundi yy maisha yake yataendaje maaana kula kwake kuvaa kwake na kuendesha maisha yake hapa duniana anategemea kodi zetuJeuri ya namna hii huwa wanakuwa nayo Wanasiasa wa Tanzania tu. Sababu wanajua Wananchi wa Tanzania wanaowalipa mishahara na posho. hawana la kuwafanya.
Ni kauli iliyojaa dharau, kebehi, kiburi, ujivuni, ubazazi, ubaradhuli na ulaanatullah. Huyu amejikinai. Hawajali wananchi maskini wa Tanzania. Na watanzania sababu ni wapole sana nadhani hatuna la kufanya.
Tumpongeze anaupiga mwingi sana.
Tumekumbuka Mramba alituambia tule NyasiJeuri ya namna hii huwa wanakuwa nayo Wanasiasa wa Tanzania tu. Sababu wanajua Wananchi wa Tanzania wanaowalipa mishahara na posho. hawana la kuwafanya.
Ni kauli iliyojaa dharau, kebehi, kiburi, ujivuni, ubazazi, ubaradhuli na ulaanatullah. Huyu amejikinai. Hawajali wananchi maskini wa Tanzania. Na watanzania sababu ni wapole sana nadhani hatuna la kufanya.
Tumpongeze anaupiga mwingi sana.
watu wamepunguza kufanya miamala na hivyo alichotarajia kukikusanya hatakipata - bado anasema uchumi hautaathirika. Haoni kama kodi alizokuwa akipata kutoka kwenye faida ya kampuni za simu inaenda kupungua - Musukuma chapa sana hawa wasomi wa ajabu ajabu! (huu ni u dr. wa makaratasi tu)Kama mwigulu ni PhD wa uchumi na anajitapa tusimtilie mashaka basi hiyo wizara ni bora ateuliwe kibajaji au msukuma, hauwezekani Dr nzima wa uchumi pamoja team yake nzima ya wizara washindwe kujua double taxation ni illegal na ni uvunjaji wa sheria.
HahahahaaAmwambie na bosi wake kama anaona tozo mpya ni kuwaumiza wananchi nae ahamie Burundi.
Huyu chizi anaona nchi ni mali ya baba akeJeuri ya namna hii huwa wanakuwa nayo Wanasiasa wa Tanzania tu. Sababu wanajua Wananchi wa Tanzania wanaowalipa mishahara na posho. hawana la kuwafanya.
Ni kauli iliyojaa dharau, kebehi, kiburi, ujivuni, ubazazi, ubaradhuli na ulaanatullah. Huyu amejikinai. Hawajali wananchi maskini wa Tanzania. Na watanzania sababu ni wapole sana nadhani hatuna la kufanya.
Tumpongeze anaupiga mwingi sana.
Unaweza kumpa hata Juma Kaseja akaendesha vizuri kuliko huyu chiziKama mwigulu ni PhD wa uchumi na anajitapa tusimtilie mashaka basi hiyo wizara ni bora ateuliwe kibajaji au msukuma, hauwezekani Dr nzima wa uchumi pamoja team yake nzima ya wizara washindwe kujua double taxation ni illegal na ni uvunjaji wa sheria.
Ameshamuangusha tayariMoja ya makosa makubwa sana ya mama SSH kufanya ktk baraza la mawaziri ni kumpa huyu mtu uwaziri. Lazima atamuangusha tu mama SSH, amejaa kiburi, dharau na kujisikia kupindukia na watu wa namna hii ni wanafiki mno.
Family background na exposure ni vitu muhimu sana kwa mafanikio ya mwanadamu yeyote yule.
Hana nyota au hana akili ?Mwigulu hana nyota na Watanzania
Kila akitajwa kuwa waziri Fulani huwa anaandamwa sana.
Wanadai wanasiasa mama yao ni mmojaNdo boss wake alivyomtuma. Ingekuwa mama yupo pamoja na wananchi hili dubwana lingeshatumbuliwa.
Kwa anae kula keki na kushindia keki ukimwambia huna mkate hawezi kukuelewa zaidi zaidi atakudharau