Mwigulu Nchemba awaambia Watanzania wahamie Burundi wasipoweza kulipa tozo za miamala

Yawezekana ndani ya Baraza la mawaziri anajijenga kwa kutoa hoja nzito na rais wanamkubali.. bahati mbaya nimefanya Kazi na wanyiramba ni jamii inayojikomba sanakwa viongozi wakuu hata kwa kusengenya wenzake ili aamniwe peke yake aachiwe.Lakini mwigulu afahamu njia hiyo haiwezi kumpa citizen number one.
Akitoka kwenye Baraza hoja zinayeyuka kichwani?
 
Jeuri ya namna hii huwa wanakuwa nayo Wanasiasa wa Tanzania tu. Sababu wanajua Wananchi wa Tanzania wanaowalipa mishahara na posho. hawana la kuwafanya.

Ni kauli iliyojaa dharau, kebehi, kiburi, ujivuni, ubazazi, ubaradhuli na ulaanatullah. Huyu amejikinai. Hawajali wananchi maskini wa Tanzania. Na watanzania sababu ni wapole sana nadhani hatuna la kufanya.

Tumpongeze anaupiga mwingi sana.

[ATTACH

Hawa ni watu waliovimbiwa kodi zetu na hana hsehima kwa walipa kodi ss watu wakiamia Burundi yy maisha yake yataendaje maaana kula kwake kuvaa kwake na kuendesha maisha yake hapa duniana anategemea kodi zetu​
 
Jeuri ya namna hii huwa wanakuwa nayo Wanasiasa wa Tanzania tu. Sababu wanajua Wananchi wa Tanzania wanaowalipa mishahara na posho. hawana la kuwafanya.

Ni kauli iliyojaa dharau, kebehi, kiburi, ujivuni, ubazazi, ubaradhuli na ulaanatullah. Huyu amejikinai. Hawajali wananchi maskini wa Tanzania. Na watanzania sababu ni wapole sana nadhani hatuna la kufanya.

Tumpongeze anaupiga mwingi sana.

Tumekumbuka Mramba alituambia tule Nyasi
 
Huyu kapewa madaraka ila rais hajajua kuwa nae anataka kitu cha mama Sasa sbu uwezo anao kwa nafasi yake ya uwaziri anafanyia mambo ambayo sidhani km raia watampa tena kula mama hiyo ndio furaha yake ili achukie kiti mama inatakiwa awe makini na watu kama hawa sijui kwnn Hadi mda huu yupo ofisini
 
Kama mwigulu ni PhD wa uchumi na anajitapa tusimtilie mashaka basi hiyo wizara ni bora ateuliwe kibajaji au msukuma, hauwezekani Dr nzima wa uchumi pamoja team yake nzima ya wizara washindwe kujua double taxation ni illegal na ni uvunjaji wa sheria.
watu wamepunguza kufanya miamala na hivyo alichotarajia kukikusanya hatakipata - bado anasema uchumi hautaathirika. Haoni kama kodi alizokuwa akipata kutoka kwenye faida ya kampuni za simu inaenda kupungua - Musukuma chapa sana hawa wasomi wa ajabu ajabu! (huu ni u dr. wa makaratasi tu)

Na hii kauli ya kuhamia Burundi, haina tofauti na ile ya kula majani lakini ndege ya rais inunuliwe -Basil Mramba

Kama kuna mtu alisikiliza mchango wa Kimei kwenye bajeti ataelewa kwa nini uchumi utaathirika, Huyu ni mtu ambaye practically amekuza CRDB kwa vitendo, msikilize na alichokisema juu ya tozo za simu ndicho kinatokea sasa!

Jeuri ya namna hii huwa wanakuwa nayo Wanasiasa wa Tanzania tu. Sababu wanajua Wananchi wa Tanzania wanaowalipa mishahara na posho. hawana la kuwafanya.

Ni kauli iliyojaa dharau, kebehi, kiburi, ujivuni, ubazazi, ubaradhuli na ulaanatullah. Huyu amejikinai. Hawajali wananchi maskini wa Tanzania. Na watanzania sababu ni wapole sana nadhani hatuna la kufanya.

Tumpongeze anaupiga mwingi sana.

Huyu chizi anaona nchi ni mali ya baba ake
 
Kama mwigulu ni PhD wa uchumi na anajitapa tusimtilie mashaka basi hiyo wizara ni bora ateuliwe kibajaji au msukuma, hauwezekani Dr nzima wa uchumi pamoja team yake nzima ya wizara washindwe kujua double taxation ni illegal na ni uvunjaji wa sheria.
Unaweza kumpa hata Juma Kaseja akaendesha vizuri kuliko huyu chizi
 
Kwa anae kula keki na kushindia keki ukimwambia huna mkate hawezi kukuelewa zaidi zaidi atakudharau

IMG_20210720_185324.jpg
 
Back
Top Bottom