anayehojiwa polisi ni mhalifu. mashahidi wanahojiwa mahakamani. subiri kesi ianze kusikilizwa ndipo ulaumu kama nchemba hatahojiwa
Kwa hiyo Makinda alifanyaje baada ya Joseph Selasini kuomba muongozo
Spika Anna Makinda, ameruhusu Kiongozi wa Upinzani Bungeni kushambuliwa, kuhusu matokeo yake akiwa Shuleni, akaruhusu CHADEMA waitwe wauaji, akakataza waliotaka Mwigulu afute kauli Bungeni, akashangilia pamoja na Wabunge wengine wa CCM waliokubaliana na maneno hayo.
Watanzania wanaangalia Bunge, wanajua Bunge linavyoendeshwa. Wanajua Spika unavyofanya, wanaona Unavyopendelea. CCM mmeshangilia sana, hongereni. Mlianza na Udini wa CUF na sasa wa Chadema, Mkaja Ukatoliki wa Slaa, na Uchaga wa Chadema.
Mlijaribu Udini suala la Kuchinja limepata busara ya Mwinyi tumepata nafuu ya siku moja. Sasa la Kuchakachua Katiba kunakoendelea mtaani sasa, na kuruhusu ujinga Bungeni kuipendelea CCM kutukana........... mnaharakisha kupeleka nchi kusikovutia wengi.
Naloli nakam ukaja ndema napanandi...mwigulu ubulema bwake bukisenie ikifwani.
kwa hili hujamkomoahili jamaa uwelewa wake ni mdogo sana, atachukiwa sana na jamii kwa siasa zake za kipuuzi na kwa kwendo huu hatafika mbali kisiasa.
Wazee mkeemeeni kijana huyu maana ameivamia siasa kwa pupa.
kwa hiyo ulitaka na yeye aendelee kutembea kwa miguu? hivi hujui yeye ni mbunge na ni naibu katibu mkuu wa ccm bara? kwa nafasi zote hizo hastahili kupewa gari?
alipotezea kama haoni vile kudhihirisha upendeleo wa wazi.
ccm oyeeeeeee
achia mbali kuwa wa juzi mie ni wa jana kabisaaa!!!! asante kwa kunielewa!!!Hujui uongeacho. Anne Makinda iliamriwa apewe Uspika, kwamba ni zamu ya "Wanawake", au wewe wa juzi?
first claas sio 0 mbowe
nakuhakikishia kuwa slaa kwa hili hachomoki time will tel on this easues
Kila la kheri Mwigulu Nchemba, bila shaka unajua unachokifanya na matokeo yake kisiasa na kijamii.
Mngetuwekea amesema nini,tuliohuku shamba tungewashukuru
kweli mkuu sheria hairuhusu kujadili mambo yaliyopo mahakamani lakini jana kama ulimsikiliza mbowe kwenye hotuba yake alianza yeye kuongelea haya mambo yaliyoko mahakamani kwa hiyo mbowe alianza mwigulu alikuwa anajibu hotuba ya mbowe
Utajadili vipi kama ni zengwe bila kujadili upatikanaji wa huo mkanda ikiwa ni pamoja na sababu za kutopelekwa polisi badala yake ukapelekwa kwa Mwigulu?, huoni kuwa kuna kila sababu ya kuamini kuwa Mwigulu ndio aliajiri watu kutengeneza huo mkanda na hivyo usingeenda polisi bila kwanza kupitia kwake?mkanda kupelekwa kwa mwigulu si hoja.kwani inaonekana wahusika wote ni wanasiasa.pengine hata angepelekewa rose mhando ungeuliza pia.
Swali hapa ni kweli lwakatale,mbowe,slaa ni magaidi au wamesukiwa zengwe.?
Malaria isiyopona...bado hujahamia kwenye udini