kwani definition yako ya neno uzalendo ni nini?au kwako mtu akiwa agaisnt chadema basi sio mzalendo?.Kwa akili hii ya mwigulu nchemba mnanishauri na mimi niende jkt nikaongeze uzalendo???siendi upumbavu mtupu huyu jkt alienda kufanya nini sasa kwa akili hii!!!!!?Tutafakari upya kama JKT ina msaaada tena katk kurudisha uzalendo wa nchi hii!!!!Bila hivyo ni kutwanga maji kwenye kinu tu>JKT SIO SULULISHO LA KURUDISHA UZALENDO UNAWEZA KUMTOFAUTISHA MWIGULU NCHEMBA KABLA YA KWENDA JKT NA BAADA YA KUTOKA JKT????
Keep on dreaming.Ni wakati sasa wa Mbowe na Dr Slaa kuachia ngazi kutokana na kashfa ya ugaidi.
Kesi hii itaibua mengi,lakini ninamsikitikia Mwigulu pale itakapojulikana ni mchezo ulichezwa aibu hii sijui ataipeleka wapi.Aibu kwa spika nadhani kilevi cha madaraka kimemlevya atajutia baadaye ,aliyejuu tunamngoja chini.
Sasa kama yuko tayari kutoa ushahidi,tatizo likwapi?
Mwacheni akatoe popote anapotaka kama ni fake itajulikana tu.
Uwezo wako wa kufikiri ni mfupi kama mfano wako, wanaotoka Singida na Namanga lazima wapite Lushoto?hivi unavyoenda arusha si lazima upitie lushoto? yeye alikuwa anatafuta tu njia rahisi ya kuifikisha kwenye vyombo vya dola. pia alikuwa anahofia kuwa akigundulika na magaidi, huo ndio utakuwa mwisho wa uhai wake kama ilivyomtokea wangwe
Vipi spika kaisha badili namba ya simu? Maana kwa mwendo wa leo ajiandae kukugeshwa mitusi tu ndo kilichobakia.Their days r numbered.
k...a yako kalaleKwahiyo wakati Mbowe analiongelea lilikuwa haliko mahakamani?
Ningekuwa na uwezo wa kurusha siku hamsini mbele ningefanya leo ili wapuuzi wa aina ya Mwigulu waibike.
Mwigulu jiandae kulipa fidia kwa kuwachafulia watu majina.
udini huwa sichangii nowdays napambana na ugaidi
Mbowe ni Kiongozi wake mkuu lazima awasiliane naye, Lissu ni wakili wake lazima awasiliane naye, je huyo Mwigulu ana uhusiano gani na Ludovic hadi amtumie M-Pesa? kwa hili hatoki.Tundu Lissu naye lazima atakuwa na matatizo ya akili mbona Mbowe na Dr Slaa wanawasiliana na GAIDI Lwakatare na wameapa kulitetea GAIDI mpaka dakika ya mwisho mbona ajasema wakamatwe.
Mwacheni aendelee kurap lakini yote haya yana mwisho,yeye anadhani watanzania ni wajinga kiasi hicho,tumegundua chadema wanatisha ndio maana ccm wanaweweseka,naapa kuwa siku za ccm kubaki madarakani zinahesabika,waulize Ghadafi na familia yake waki wapi,hayo ndiyo yanamsubiri Mwingulu
:mwigulu anasema atatoa ushahidi kwamba cdm inahusika na kupanga mauwaji....
Ana mpaka maandishi ya huyo alierekodi..
anasema cdm iko kama mchawi..! kwamba inaloga alafu inakuwa wa kwanza kulia kilioni
utaenda kupiga hiyo mbiu jimboni kwako 2015 then utajua ni oyeeeeee au ziiiiiiiiii.
Umeshindwa kusoma alama za nyakati comrade and that will cost you.
nizisoma sana ila watu kama jusper hawakuwa na roho mbaya kama slaa
mbona jana mbowe alipewa muda akataja na hamkusema mbona mlikuja haraka na furaha.chadema mnamawazo mgando sana.i hate u so much