My Confession: Nilivyohudumia Mimba iliyokuwa na Baba 5 pasipo Kujuana

Nilijua tyuu huu uzi lazima Masuria yatapararakana
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ haiishagi hadi iishe, Lol
Sasa kwanini mojawapo la suria 'bibi' anajidai kumpigia mapande 'babu' kwa masuria mengine halafu akiona mkeka unaelekea kutiki anachafukwa nafsi?๐Ÿค—
 
Sasa kwanini mojawapo la suria 'bibi' anajidai kumpigia mapande 'babu' kwa masuria mengine halafu akiona mkeka unaelekea kutiki anachafukwa nafsi?๐Ÿค—
Yapiii hayooo!!!?? JF hii kaa kimastaa,
Sipoo hukooo!! ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Port Fc leo kageuka Buriram fc!

Unamuomba over 1.5, anashinda 1...!

Ukimuomba ashinde anatoka 1-1...

Betting mkuu ndu wa shomari!
 
Kama unataka kufanya DNA, chukua sampuli za mtoto iwe nywele ama hata jasho la nguo zake then nenda ukapime nje ya Nchi

Kama utapima Tanzania, huwezi kupata matokeo sahihi
Nchi gani nzuri kwenye vipimo vya DNA
 
Ndo michezo iyo wanaforwad sms tu ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
wazee wenyewe ndo nyie mloenda kukutana na sa100 mwezi jana eeeh,, acha tuwapandishe presha mpka mkome๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…,,
alf huu uzi sio kwanza kuona unajiita babu wakati ni kijana m bichi mweee๐Ÿ™Œ
Uzee dawa, tuliombwa tukasaidie kumshauri mwenye Nchi hiyo mwezi Jana ๐Ÿคช

Kijana Mbichi wapi, Babu yenu nimekula chumvi nyingi ujue ๐Ÿค—
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ