Mzee Makamba: Watu wazuri huwa hawafi ndio sababu Kinana yupo na Jakaya yupo!

"Watu Wazuri HAWAFI ndo maana Mzee Kikwete na Kinana wapo hai mpaka leo"-: Mzee Yusuph Makamba
 
Mzee kateleza kakosea sana... Hopefully watamueleza in private

Hapana kuteleza mkuu...lao moja .. he meant every word he said....

Jiulize why is he comfortable saying those words mbele ya mwenyekiti....

Ndio viongozi wetu hawa wanaotuongoza...na kinachoumiza zaidi ni wenzetu wanaCCM walalahoi wanatusaliti kwa bahasha ya khaki wanatupitishia mafisadi hawa kuiongoza nchi....
 
We umesoma chuo gani
Hilo ndio swali lake ukimuandama sana kwa maswali.
 
Tukisema huyu mzee ni mnafiki je tutakuwa tumekosea, kwa hiyo wote waliotangulia mbele za haki hawapendwi na si wazuri, hizi kauli zafaa zikemewe na si kuchekewa,mara sasa tunalamba asali, hawa kweli ni wahaini! na chawa wakubwa, imenikumbusha kabla ya mtoto wake kutolewa nduki na mwendazake huyu mzee alikuwa akiimba mapambio kuhusu mwendazake, lakini baada ya mtoto wake kutolewa ndio ikawa nongwa, anamsifia mama kwa kuwa tu mwanae yupo madarakani, huyu ni mzee mnafiki sana pamoja na mwanae wote ni wanafiki tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…