Mzee Makamba: Watu wazuri huwa hawafi ndio sababu Kinana yupo na Jakaya yupo!

Nasikia huyu mzee mwanzoni mwa ujana wake alikuwa mwl. huko Tanga...akapata skendo kumtia mwanafunzi mimba kuona ishu inakuwa moto akatoka nduki akaacha kazi badae ndo akaenda jeshini, jeshini zamani ilikuwa rahisi kuingia.
Baada ya kuzama jeshini akajipendekeza huko hadi akafikia cheo cha u luteni hadi alipostaafu.
 
Swagga za wahenga kuwa kizuri hakidumu ni uongo wa karne....


CCM Hoyeeeee
 
Huyu soon ataanza kuzika watoto wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…