Girland
JF-Expert Member
- Jan 24, 2016
- 2,489
- 4,253
Hapa ni home of Great thinkers, THINK LIKE ONE!Mbona Magufuli hajatajwa? Nadhani ni kujishtukia tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa ni home of Great thinkers, THINK LIKE ONE!Mbona Magufuli hajatajwa? Nadhani ni kujishtukia tu.
Ndiyo hapo sasa!Nani akupe Mic mdogo wangu
Hivi huyu mzee si alikuwa miongoni mwa waliomuomba msamaha JPM baada ya maongezi yao kudukuliwa na kusamehewa? Aise wazee wa pwani tuwaache tu, ila ndio CCM ilivyo, full kupigana vijembe na kumwaga sifa kwa mshika mpini kwenye mikutano yao ili majina yao yaonekane kwenye teuzi.Kwa hiyo.JPM.alikufa kwa kuwa alikuwa.mtu mbaya ?.Mzee Makamba ana kauli za hovyo hovyo.
..hilo ni fundisho kwa sisi tuliobaki.
..kabla ya kufanya jambo lolote tujiulize madhara yanayoweza kutokea kwetu, kwa familia zetu, na jamii kwa ujumla.
..unaweza kudhani jambo fulani halina madhara kwako, lakini ujiulize halitakuwa na madhara kwa familia yako utakapokuwa haupo.
..fikiria alichomfanyia Lissu. Familia yake ikimuangalia Lissu kuwa amekuwa mlemavu na aliyesababisha ni Mzee wao wanajisikiaje?
Kipekee Magu alikuwa na roho mbaya.Kwa hiyo.JPM.alikufa kwa kuwa alikuwa.mtu mbaya ?.Mzee Makamba ana kauli za hovyo hovyo.
Mungu huwapinga wenye viburi, jeuri na dharau ila huwapa wanyenyekevu neema. Kila baya hulipwa kadhalika zuri nalo.Hii nchi sio yenu. Hili ni taifa la watanzania. Chochote kinaweza kutokea
Hii ni pumba.
View attachment 2439965
Ilikuwa hakuna namna zaidi ya kumuomba msamaha wa kinafiki dikteta yuleHivi huyu mzee si alikuwa miongoni mwa waliomuomba msamaha JPM baada ya maongezi yao kudukuliwa na kusamehewa?
Absolutely ni aibu kubwa kuruhusu wazee kama hawa kuzungumza mbele ya media unaweza ukafikiri labda ni commedian kumbe njaa ina msumbua angalia yale majibu aliyotoa jana alivyokuwa anaulizwa hali ilivyo Nchini Mzee hebu ona aibu hata mbele ya Mwenyezi MunguHuyu mzee hajawahi ongea point hata siku moja.
Mizee kama hii haishindwi hata kukuwadia wake zao wenyewe kama tu kuna maslahi kwao.
Hii ni senior version ya kina Mwijaku na Baba Levo.
Aishi na kauli ya kutetewa kuhusu umeme basi.Viongozi huwa hawafundishwi kuongoza?
Kijana atakua anajisikia vibaya sana huko.
Mwambie lissu arudi basi mana mtesi wake keshakufa anaogopa nini?
Mzee mbumbumbu hao ndio huitwa wazee hovyo kabisa, unadhani magufuli hana wafuasi huko kwenye mkutano? Kosa yadumishe umoja ni kisababisha mipasuko
Nasikia wajumbe wameipigia makofi mengi kauli hiiMzee kateleza kakosea sana... Hopefully watamueleza in private
Hapa ni home of Great thinkers, THINK LIKE ONE!
DuhHii nchi sio yenu. Hili ni taifa la watanzania. Chochote kinaweza kutokea
Hii ni pumba.
View attachment 2439965