Mzee Makamba: Watu wazuri huwa hawafi ndio sababu Kinana yupo na Jakaya yupo!

Mzee Makamba: Watu wazuri huwa hawafi ndio sababu Kinana yupo na Jakaya yupo!

Kwa hiyo.JPM.alikufa kwa kuwa alikuwa.mtu mbaya ?.Mzee Makamba ana kauli za hovyo hovyo.
Hivi huyu mzee si alikuwa miongoni mwa waliomuomba msamaha JPM baada ya maongezi yao kudukuliwa na kusamehewa? Aise wazee wa pwani tuwaache tu, ila ndio CCM ilivyo, full kupigana vijembe na kumwaga sifa kwa mshika mpini kwenye mikutano yao ili majina yao yaonekane kwenye teuzi.
 
..hilo ni fundisho kwa sisi tuliobaki.

..kabla ya kufanya jambo lolote tujiulize madhara yanayoweza kutokea kwetu, kwa familia zetu, na jamii kwa ujumla.

..unaweza kudhani jambo fulani halina madhara kwako, lakini ujiulize halitakuwa na madhara kwa familia yako utakapokuwa haupo.

..fikiria alichomfanyia Lissu. Familia yake ikimuangalia Lissu kuwa amekuwa mlemavu na aliyesababisha ni Mzee wao wanajisikiaje?

Napenda watu wakweli Kama wewe. Hongera sana
 
Alisema watu walikuwa wanabatizwa na maji ila magufuli sasa atawabatiza kwa moto!leo hii hayupo stori imekuwa ingine.

Aliesema mbuzi kweli hakukosea..tena hili dingi ni beberu
 
Huyu mzee hajawahi ongea point hata siku moja.
Mizee kama hii haishindwi hata kukuwadia wake zao wenyewe kama tu kuna maslahi kwao.

Hii ni senior version ya kina Mwijaku na Baba Levo.
Absolutely ni aibu kubwa kuruhusu wazee kama hawa kuzungumza mbele ya media unaweza ukafikiri labda ni commedian kumbe njaa ina msumbua angalia yale majibu aliyotoa jana alivyokuwa anaulizwa hali ilivyo Nchini Mzee hebu ona aibu hata mbele ya Mwenyezi Mungu
 
Mzee mbumbumbu hao ndio huitwa wazee hovyo kabisa, unadhani magufuli hana wafuasi huko kwenye mkutano? Kosa yadumishe umoja ni kisababisha mipasuko

Wacha wapasuke mkuu...
 
Hivi wapi katajwa Magufuli? Mbona statement ipo tofauti na mnavyotafsiri.
 
Back
Top Bottom