Mzee Makamba: Watu wazuri huwa hawafi ndio sababu Kinana yupo na Jakaya yupo!

Mzee Makamba: Watu wazuri huwa hawafi ndio sababu Kinana yupo na Jakaya yupo!

Mnafiki tu huyu! Kwani wakati ule yeye hakuwemo kati ya waliokuwa wakisifu na kuabudu?
Amesahau alivyokuwa akisifu!! Tatizo letu kuu Afrika wanasiasa wengi wanaamini siasa maana yake ni uongo uongo tu !! Ndio maana Bara hili linajikongoja kwa kusuasua !! Akipatikana mkweli ni lazima atachukiwa na kudhibitiwa kwa namna yeyote ile kwa sababu wanaona amekiuka imani yao !!
 
Mzee Makamba hana siku nyingi hapa duniani. Mwenyezi Mungu huwa hadhihakiwi wala hapangiwi na ndio maana huwa tunasema “ Kazi ya Mola haina makosa”

Hili zee huwa linabwabwaja mpaka linapitiliza. Mama Samia hakuwa na haja ya kujitokeza kujifanya anarekebisha ile kauli. Makamba meant what he said
 
Magufuli wenu sikumpenda hata kidogo baada ya kuanza kuua watu hovyo na kuona upinzani ni uadui, lakini lazima nikiri kuwa watu wanafiki kama huyu ndiyo alitakiwa awafanye kitu kibaya kabisa ikibidi awapoteze. Angekuwa amewashughulikia na kuona upinzani ni washirika wake Tanzania ingekuwa mahali pazuri sana leo. Maskini hakujua kuwa maadui wake halisi ni wana CCM wenzake. Huyu mzee anawakilisha mawazo ya akina Kinana, Kikwete na wengine wengi.
Labda wewe umesahau,Magufuli alitambua baadhi ya maadui zake kuwa ndani ya CCM na alikuwa anaongea wazi kabisa.
Wengine aliwaweka kando kimtindo kutokana na unafiki wao..mfano mzuri ni kama huyu Mzee Makamba.
 
Mzee Makamba amesema Wanaccm Wana Iman kubwa sana na Rais Samia na 2025 atashinda kwa kishindo

Mzee Makamba ametaka CCM kupitisha Azimio la kumpitisha Rais Samia kuwa mgombea Urais pekee kea ticket ya CCM 2025....
Sasa kama watu hawali katiba wala hawali tume Huru wanataka elimu Bora, hosptal bora, miundombinu Bora na hajafanikiwa kuwapa for the past 50yrs. Kwa nn wasidai kubadilishwa kwa Kile kinachoonekana ndio kinaendelea kuwaweka madarakani.

Kifupi CCM haitakiwi kuwaahd wananchi elimu bora wala miundombinu Bora ilitakiwa iwe inaonyesha matokeo ya ilichofanya sio tutafanya.. huwez kuwa 50yrs madarakan kisha unaahd kitu kile kile
 
Watu aina hii,walitakiwa wafutwe kabisa,wao na kizaz chao

Ova
 
For the past fuc***ing 60 yrs we've been hearing same shit...

Na bado watu wanataabika kwenye vitu hivyo hivyo maji, umeme, afya, elimu...
Wanatuona mazwazwa tusiojua tumetoka wapi na tunaenda wapi.
 
Between the lines hapo Kuna ujumbe mahususi wa kiintelejensia unafikishwa Kwa Mama,na ukifungua hizo codes utaona kuwa mama hatoboi 2025. The deep state hawajaridhishwa na mwenendo wake.
 
Watu wanaposema chawa huyu mzee ndiyo chawa mwenyewe aliyekubuhu.
 
Ni kuwa kiongozi ukiwa mzuri watu watakuombea dua, watu wa dini, na imani zote watakuombea usipatwe na maradhi na Mungu husikiliza maombi yao

Lakini ukiwa kiongozi mbaya ambaye unanyanyasa watu, unaua, unawabomolea nyumba, unawafilisi damu za watu zinakulilia, machozi yao hayawezi kwenda bure na utakufa mapema
Binaadam waliopo chini ya ardhi wengi ni waovu?babu zako na bibi zako wamekufa kwa uovu? Mitume wengi wamekufa je wao waovu?
 
Ni kweli mtu mzuri kwa maana ya kuwa atendaye haki na kutenda mema kwa watu na kwa Mungu huongezewa siku za kuishi. Mshahara wa dhambi Ni mauti/kifo. Kumb6:2. Rum6:23
 
Yesu kusurubiwa msalabani alikuwa kiumbe mbaya sana ndio maana alikufa msalabani,?kadhalika mtume Muhammad hatuko naye naye alikuwa kiumbe mbaya.?


Kinachonishangaza nyie vijana ni wapumbavu mpaka mmepitiliza,yaani hujaamini huyo kibabu kakosea na pengine medula imecheza,wewe ni utoko wa govi
Yesu ilikuwa ni mipango ya Mungu afe na afufuke ili watu waokolewe
 
Back
Top Bottom