Mzee Makamba: Watu wazuri huwa hawafi ndio sababu Kinana yupo na Jakaya yupo!

Mzee Makamba: Watu wazuri huwa hawafi ndio sababu Kinana yupo na Jakaya yupo!

Ni kosa kubwa sana kuwapa watu nafasi ya kuongea na akati wao kazi yao ni kupaa angani
 
Mzee Makamba amesema Wanaccm Wana Iman kubwa sana na Rais Samia na 2025 atashinda kwa kishindo...
MUNGU HADHIHAKIWI Mzee Makamba Waliokufa hawakupenda na wala hawana UBAYA unaousema na Tulio HAI sio kwamba Tu Watu WEMA ipo Siku Wewe na sisi pia Tutakufa.
 
Ni kuwa kiongozi ukiwa mzuri watu watakuombea dua, watu wa dini, na imani zote watakuombea usipatwe na maradhi na Mungu husikiliza maombi yao

Lakini ukiwa kiongozi mbaya ambaye unanyanyasa watu, unaua, unawabomolea nyumba, unawafilisi damu za watu zinakulilia, machozi yao hayawezi kwenda bure na utakufa mapema
Kwa hiyo Watu wote Waliokufa pamoja na NDUGU zako Walikuwa WABAYA na mlikiwa Hamueaombei Dua?
 
Ana miaka zaidi ya 80 inawezekana uwezo wa kuonganisha matamshi yanayoleta tafsiri sahihi ya anachomaanisha umepungua.
 
Hiii kauli imefuta ndoto za uzao wote wa Huyu mzee. Sio Janwari wala Mwabita wote watakuja kupata majanga kwa kauli hii. Wasahau kabisa kurudi kwetu kuomba ridhaa ya kuongoza mbwaaaa nyie.
 
Mimi ninapomuona babangu, huwa naogopa sana uzee huku nikimuomba Mungu kama uzee wenyewe ndo inakuwa hivi basi kabla sijafikia huko bora tu akanipumzishe...
Tuombeane afya na kauli njema kwa binadamu wenzetu

Kuna wazee wengine ni nuksi ila ndio tabia tuwaombee tu
 
Yesu kusurubiwa msalabani alikuwa kiumbe mbaya sana ndio maana alikufa msalabani,?kadhalika mtume Muhammad hatuko naye naye alikuwa kiumbe mbaya.?


Kinachonishangaza nyie vijana ni wapumbavu mpaka mmepitiliza,yaani hujaamini huyo kibabu kakosea na pengine medula imecheza,wewe ni utoko wa govi
Yesu alikuwa na miaka 30+ bila Shaka alikuwa ni kiumbe mbaya Sana yule
 
Mzee makamba tunampa siku tatu aombe radhi bila ivi tunafunga Kwa ajili ya Kumwomba Mungu afanye jambo
 
Binaadam waliopo chini ya ardhi wengi ni waovu?babu zako na bibi zako wamekufa kwa uovu? Mitume wengi wamekufa je wao waovu?
Hata yeye atakufa, samia atakufa na sio kuwa hajui hilo sababu kwa muda alioishi duniani lazima amezika wengi alioamini ni watu wema.

Mbona ukitumia akili ya kawaida unaona kabisa hili mnaloshupalia halikuwa tafsiri ya alichotaka kumaanisha? Kwa umri wake anaweza kushindwa kuongea kwa mtiririko unaoeleweka.
 
Kwanini Raia wa nchi za kiislamu kama Afghanistan, Iran, Syria n.k wakipatwa na machafuko ya nchi hukimbilia nchi za Kikristo (France, UK, America n.k.) ?
Kuna watu wengi wanaokimbia machafuko kutoka nchi za Kiislam kukimbilia nchi nyengine za Kiislam zenye amani kama Saudi Arabia, Qatar, UAE, Jordan nk.

Katafiti vizuri
 
Acha kuropoka waliomuua ni nyie wenywe wanafiki wa CCM . Halfu yeye alipomlamba Lissu Risasi?. Nani alimuonea huruma Lissu?. Azory na Saanane wamepotea kwenye utawala wake , naani anawazungumzia. Tuache unafki
Usinipangie cha kusema we chawa wamambuzi, kama ambavyo sijakupangia wewe kuwa chawa
 
Mzee haeshimu hata katiba chama chake anakwambia wanatunga wenyewe.
 
Back
Top Bottom