Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
Yule katili aliandaliwa? Na nani? Wazee wengine wanastahili kufa tu waache kupoteza scarce energy iliyopo duniani.
Mbona ni kama vile wewe ndo ulistahili kufa hata sasa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yule katili aliandaliwa? Na nani? Wazee wengine wanastahili kufa tu waache kupoteza scarce energy iliyopo duniani.
Kuandaa makatili,mtoa roho,mjivuni,haambiliki,mporaji wa fedha za watu (Maduka ya kubadilisha fedha za kigeni) kujipendelea chato Airport,VETA,hospital ya rufaa,Zimamoto,mahakama,CRDB,Tanesco ........MZEE Mohammed Juma, Mkazi wa Unguja Zanzibar amesema kama Taifa tuna kazi kubwa sana kumuandaa kijana atakayefanana na Hayati Dk. John Pombe Magufuli na alikubali lolote limfike lakini Tanzania isonge mbele
“Tuna kazi kubwa sana ya kumuandaa kijana atakayefanana na Magufuli, tuna kazi kubwa sana , yule mzee aliingia pale hakuwa na tamaa yoyoye aliingia pale kwa niaba ya kuijenga Tanzania na alikubali lolote limfike lakini Tanzania isonge mbele” Mzee Mohamed Juma Mkazi wa Unguja, Zanzibar Tanzania.
Atatokea tena kizazi cha 3 kutoka sasa...vitukuu vyetu ataappear...!..itachukua muda mrefu kupata kiongozi laghai, mbaguzi, mkabila, katili, na muuaji, kama Jpm.
..viongozi wa aina ile huzaliwa mara chache ktk taifa lolote lile.
Sawa nyie si mshawaanda wakina February ri#zmoko au siyo mbona wanafaaHuyo mzee ni nani katika nchi hii,mnaokota wauza kahawa mnawarekodi wanaongea kwa niaba ya watanzania
Una miliki taifa gani hapa duniani, na una uhakika kuwa utaendelea kuwepo siku zote ili uhakikishe hilo halitokei?Pumbavu sana, hili taifa halitakaa liongozwe na kichaa, mshamba, makabila na muuaji tena
Atatokea tena kizazi cha 3 kutoka sasa...vitukuu vyetu ataappear...!
Wajuzi watujuze ni parefu.....vizazi vitatu ni miaka mingapi?
Zungumzia uchaguzi wa 2020 ambao Mbelgiji haamini mpaka leo alivyotendwa na wapigakura na unapouzungumzia uchaguzi wa 2015 huku ukijua ushindani ulikuwa ni Kati Kati ya mwanaCCM kwa mwanaCCM ni kujitekenya na kucheka mwenyewe
Ili utawale afrika kiongozi lazima uwe kauzu,magufuli hakufikia level ya kuwa diktekta,Huyo mzee mjinga Sana. Kwa hivyo tumuandae dikteta Kama magufuli?. Watu wasio julikana?. Mimi kwangu rais yeyote anayedharau kundi Fulani kwenye jamii na kuona sio watanzania kufa na afe.
Hatatokea, ilikuwa bahati mbaya sana 2015 nchi akapewa kichaa, wazee wa CCM hakuna wanachojutia zaidi ya kileUna miliki taifa gani hapa duniani, na una uhakika kuwa utaendelea kuwepo siku zote ili uhakikishe hilo halitokei?
Hizi akili mnatoa wapi?
Eti hakuna rais Kama magufuli, mnalazimisha watu uongo. Kila Rais alifanya yake akaondoka. Haya ya kulinganisha Marais mmeanza nyie msiojua nchi imetokea wapi mpaka hapa ilipofikia. Kama Marais waliopita wangeweka misingi mibaya hata huyo magufuli asingefanya lolote.
Ila Ni kweli hakuna Rais aliyewahi kufia madarakani zaidi ya magufuli hapa Tanzania Bara.
Uwa kunatakiwa kuwe na mipaka Kati ya mzazi na mtoto hivyo naweza kusema Hayati ni kama mzazi na wengine ni kama watoto. Ukiachana na jukumu kuu la mzazi ambalo ni kulea pia jukumu hilo linaenda sambamba na kukanya na kuadhibu.Kuandaa makatili,mtoa roho,mjivuni,haambiliki,mporaji wa fedha za watu (Maduka ya kubadilisha fedha za kigeni) kujipendelea chato Airport,VETA,hospital ya rufaa,Zimamoto,mahakama,CRDB,Tanesco ........
Mungu aliipenda sana Tanganyika
Ni baba yako labdaHuyo mzee ni nani katika nchi hii,mnaokota wauza kahawa mnawarekodi wanaongea kwa niaba ya watanzania
Wala hana roho mbaya anatuwakilisha watanzania,mjibu swali lake huyo mzee ni nani???Una roho mbaya sana ww jamaa
Kafa, kazikwe nae Chato kama unampendaIli utawale afrika kiongozi lazima uwe kauzu,magufuli hakufikia level ya kuwa diktekta,
Kwenye utawala wake ulishawahi kulala saa 12 jioni
Ova
Duh! UmenionyaNimekuonya Kama hujui kitu kaa kimya, usifanyie wengine mizaaa. Uzuri shetani magufuli kaondoka na Mungu kanisaidia nilivyopoteza vimerudi vyote.
Akawadanganye wapumbavu wenzie waliozeeka akili labda.MZEE Mohammed Juma, Mkazi wa Unguja Zanzibar amesema kama Taifa tuna kazi kubwa sana kumuandaa kijana atakayefanana na Hayati Dk. John Pombe Magufuli na alikubali lolote limfike lakini Tanzania isonge mbele
“Tuna kazi kubwa sana ya kumuandaa kijana atakayefanana na Magufuli, tuna kazi kubwa sana , yule mzee aliingia pale hakuwa na tamaa yoyoye aliingia pale kwa niaba ya kuijenga Tanzania na alikubali lolote limfike lakini Tanzania isonge mbele” Mzee Mohamed Juma Mkazi wa Unguja, Zanzibar Tanzania.
Afrika tutaendelea kuwa masikini miaka na miaka. Binadamu anakufa leo yupo kesho hayupo. Huyo kijana unamuaanda kesho anakufa halafu kinachofuata?Rest in Eternal Peace Mr. President, kivuli chako kitaishi nasi milele na milele. Kila uchao na uchwao kuna mtu anakukumbuka na kukulia,hakika ulikuwa zawadi kubwa sana kwa Tanzania yetu.
Uwa kunatakiwa kuwe na mipaka Kati ya mzazi na mtoto hivyo naweza kusema Hayati ni kama mzazi na wengine ni kama watoto. Ukiachana na jukumu kuu la mzazi ambalo ni kulea pia jukumu hilo linaenda sambamba na kukanya na kuadhibu.
Hayati Magufuli hakuwa na sifa hizo ila watoto wakaidi lazima wamchukie mzazi mkali