Naanza kutilia shaka uwezo wa Rais Samia kuongoza Taifa

Mkuu umeniwahi tu.
Nami nimeanza kupata wasi wasi kuwa Rais Samia kawekwa mtu-kati na wahafidhina wa Mwenda zake.
Tukumbuke kesi ya Mbowe, Mama kakiri, kuwa ilianza kuasisiwa mwaka jana mwezi wa tisa.
Huu ulikuwa wakati wa Mwenda zake.
Mwenda zake anajulikana mahsusi kwa kubambika kesi ili kumfanyizia hasimu wake.
Hatujasahau alivyobambikwa kesi ya uhujumu mzee Shamte wa Mkonge Tanga na hatimae kufia gerezani.
Je tumesahau kesi 147 ambazo mama mwenyewe alizifuta kule TAKUKURU, makesi ya ubambikaji ambayo yalimg'oa Jenerali Mbung'o?

We can only draw one conclusion, Mam anazidiwa nguvu ya reforms, kuna watu wanampinga wazi wazi kwa kumpa juiced information.
Kwamba Polepole na Gwajima wako fore front kumpinga juu ya covid, si suala la coincidence.
 
Nampongeza madam president amefanya vema kuongea na BBC. Lazima tufahamu asili yetu binadamu kwamba mwanaume ni tofauti na mwanamke. Kwa hulka,silka na haiba ya mama yetu tunahitajika kumpongeza.
Tukikubadili viwango vya chini kwenye uongozi wa Taifa maana yake tumekubali kuwa Taifa la viwango vya chini.
 
Really ?

Hivi kweli tunasahau mapema au kumbukumbu zetu zinachagua vya kukumbuka ?

Taarifa sahihi za kwamba tunawekewa Covid kwenye Barakoa au ?
 
Jamaa wanataka uhuru wa mawazo lkn hawataki mawazo yanakinzana na mawazo yao
 
Nikweli mama IQ ndogo lkn hawa wapinzani wachumba wa mabeberu, magaidi hawafai hata kuwa viranja wa chekechea kelele zote ni kwa ajili ya matumbo yao
 
Siasa chafu,dola kuingilia uchaguzi, ndiyo inatuletea viongozi wa aina hii.Tunahitaji.
1.KATIBA MPYA inayotokana na wananchi chini ya Jaji Warioba
2.CCM ife kabisa ili Taifa letu lipone.
 
Acheni kukurupuka jipe muda
 
Umempa za uso vizuri sana!

Eti wanataka watukane waangaliwe tu, waandamane waangaliwe tu, wafanye ujinga wote waangaliwe tu!

hawa watu sometimes unaweza sema wana hidden agendas. Nchi gani makini Haina utaratibu mzuri wa kufanya mambo yake?
Kama Katiba inatukanwa na Walioapa Kuilinda wao Je?

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Tangu aingie madarakani nilikuwa sijamsikia akihojiwa live, interview yeyote hulenga kujua uwezo, uelewa na udhaifu wa mtu, unaweza kuwa na vyeti vya 1st class lkn ukashindwa kujieleza.
Mkuu siku ile alivyokuwa anaongea na waandishi wa habari, palepale niliona huyu mama hakuna anachojua
 
Wala hujui. Mbona kwenye hiyo kesi kuna wameshahukumiwa. Wala kukamatwa mbowe kwa ugaidi haina negative effect yoyote kwa mahusiano yetu na kenya wala nchi zingine. In fact inaonyesha tuko vizuri kwenye usalama. Kwenye hiyo interview samia kaonyesha yuko wapi in relation na namna ya uendeshaji nchi na magufuli. Chadema walishangilia eti ni mtu wao sasa wanakua dissapointed.
 
Tunahitaji Rais atakayewaongoza wananchi wote na sio kufuata matakwa ya CDM ili CDM wamuunge mkono..

Huwezi kuwafurahisha CDM katika nchi hii maana wenyewe hawajui wanachotaka..
 
Kwa hiyo akiwafutahisha akina Gwajima, Polepole na Bashiru ndiyo ataonekana ana uwezo wa kutawala?

MEDIOCRE mind
 
Unategemea Pro-Chadema watasema nini kwa rais mnamuita kila aina ya majina.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…