Nabii GeoDavie: Biblia sio neno la Mungu bali ni maneno ya wanadamu

Oh, inamaana kabla sayansi haijathibitisha uwepo wa white blood cell za mwili wa binadamu hazikuwepo.....
Zilikuwepo lakini wanasayansi walikuwa bado hawajui kama zipo.

Ninyi tayari mnajua Mungu yupo, lakini hamna uthibitisho wa mlijuaje yupo.

Eleza na thibitisha ulijuaje Mungu yupo?
 
Angalau kitu kinaweza kuwepo kwa namna mojawapo ya kuonekana, kushikika, kusikika, kuhisika na kupimika.

Upepo ukivuma unasikika kabisa na kujulikana upo.

Mungu hayupo kwa namna yoyote ile ya kuthibitishika yupo.
Upepo unaona athari zake,huuoni,hata unavyoita vipimo ni athari zake,ajabu unasadiki upepo upo kwa athari zake lakini hutaki kufungua akili yako kwa maelezo yangu ya kumeng'enya chakula mpaka kutoa takamwili kuwa athari/dalili ya muumbaji... ukitaka nikuoneshe Mungu basi nioneshe kwanza upepo, maana umegoma kutumia akili
 
Dunia ni makao ya muda mfupi ya shetani na wanadamu ili mwanadamu huo ulimwengu usio na mabaya unakuja unaitwa paradiso.
 
1. Kama muandishi gani anaejulikana PASIPO SHAKA YOYOTE kwamba yeye ndio aliandika hicho kitabu?

2. Tuna uhakika gani kwamba hao walionakili: a) Walielewa kile walichokuwa wananakili b) Walinakili kwa usahihi c)Waliwakilisha kwa usahihi kile walicho nakili bila kupoteza maana?

3. a)Yeshua ina ugumu gani kutamkika mpaka watu waamue kutohoa?
b) Mungu sio jina, Allah ni jina, God sio jina. Mungu yoyote anaweza kuitwa Mungu/God ndio maana kuna miungu lukuki. Mungu wa wakristo ana jina lake, cha ajabu hakuna anaelitumia .

Hivi vitu vimefanywa kwa makusudi sio bahati mbaya.
 
Well said.Allah n Jina .
 
Mimi nimetokea kwenye Uislam ,ila wakristo japo wapo kwenye box ila wana uhuru mkubwa wakufikiri 🤔
Sio rahisi kwa muislam kutoka kwenye uislam ni ngumu mno.
Anaanza kuandaliwa kuiamini dini tangu mdogo kabisa, ni kama wale majasusi au jambazi ambalo liko tayari hata kuuawa ila sio kutoa siri.

Wakristo wengi husali kwa hiari zao, akiamua sawa akiacha sawa.
 
Kwangu ni rahisi tu
 
Tapeli.
 
Kwanza thibitisha uwepo wa huyo Mungu.

Nimeshakwambia kwamba unaweza kupima upepo kwa sababu upo.

Hatupimi upepo kwa kuangalia athari zake.

Upepo unapimwa kila siku kwenye vituo vya hali ya hewa kujua kasi yake na uelekeo wake.

Marubani na manahodha wa meli kila mara wanapewa updates za speed and direction za upepo, kwa sababu upo na unapimika.

Sasa wewe thibitisha uwepo wa huyo Mungu.
 
Dunia ni makao ya muda mfupi ya shetani na wanadamu ili mwanadamu huo ulimwengu usio na mabaya unakuja unaitwa paradiso.
Niliwahi kuuliza, kama Mungu aliumba ulimwengu wote wenye sayari zisizo na hesabu, kwanini aliamua kumtupa shetani duniani ambapo kuna "watu wake" (yaani sisi), badala ya kumtupa kwenye sayari mojawapo kati ya nyingi zisizokaliwa na kiumbe chochote?

Hii ni sawa na wewe una jumba kubwa lenye vyumba zaidi ya 100, ukutane na joka huko nje upambane nalo likushinde, halafu uchague kulitupia kwenye kile chumba kimoja tu wanacholala watoto wako!
 
Kuna kitu inaitwa Forbidden knowledge wewe mtu wa ufahamu level ya kwanza utakiwi uyajue ukitaka kuyajua zaidi unapanda juu ndipo unasoma vitabu vingine vinavyozivunja vunja hizo codes za kwenye Biblia au Quran hivi vitabu ni msingi ukitaka deep unazama kwenye hizi forbidden knowledge
Vipo vitabu vinaelezea maisha mmoja tu mfano kipo kimeandika historia nzima ya.
Ambazo kwenye Biblia zimewekwa kwa ufupi
. Adam na hawa
. Kitabu cha Enock, Enock ni mtoto wa Kaini
. Maisha ya Jesus Christ tangu angali mtoto hadi alipoondoka duniani kinaitwa.
Miaka 18 ya Yesu iliyopotea
. Sodoma na Gomorrah
. Injili ya Thomas
. Masimulizi juu ya mji wa Babel
.Siri za mfalme sulemani
.nk
Vipo vingi sana na vingi vilipigwa marufuku na kukusanywa na Roman Catholic kumbuka zamani hapakuwepo na technology za uchapaji kma sasa thus ilikuwa ni rahisi kuyadhibiti maandiko,wakavifungia kwenye majumba ya siri.
Hii Biblia waliacha yale yawafaayo watu level ya chini.
Na bahati ya kusoma vitabu hivi vingi kama haupo vizuri vinakutoa nje ya reli hivyo kutowachanganya watu wa ufahamu wa level ya kwanza wakaona waviondoe kwenye public.
Ulimwengu wa sasa wa technology ndo elimu zingine zinaanza kutolewa
 
Swali ni je, Kama kweli kuna binadamu wa kwanza wa watu wote, Je huyo binadamu wa kwanza alikuwa na rangi gani?
Binadamu wa kwanza inakadiriwa alikuwepo miaka 300,000 iliyopita. Unategemea nijue rangi ya mtu wa miaka laki 3 iliyopita na nimekwambia SIJASOMA HISTORIA.

Je alikuwa mweupe na mabadiliko ya DNA yalivyotokea, wakazuka binadamu weusi?
Haijalishi binadamu wa kwanza alikuwa na Rangi gani.
Hata kama alikuwa mweupe au mweusi ama Mwarabu cha Msingi ujue kuwa Rangi zote hizo zinaweza kubadilika kutoka Rangi moja kwenda nyingine na Pia zinaweza kuzaa Rangi mpya ambayo haikuwapo kabla.

Wewe unaweza kuelezea kwanini watu weusi wanazaa Albino?Albino wa kwanza Alizaliwa lini?

Hapa ndipo utata ulipo?
Kwahiyo unafikri binadamu hapo mwanzo walikuwa wengi wenye Rangi mbalimbali ndio wakaanza kuongezeka😂.

Unataka tuseme kule China walianza wachina 8.
Huku Afrika walikuwepo weusi 6.
Ulaya pia walikuwepo wazungu 100
Kulikuwa na waarabu 40... n.k

Kiufupi binadamu wa kwanza hawazidi wawili na hao ndio walizaa hizi Rangi zote zilizopo. Na kuna rangi zingine mpya pia zinazidi kuzaliwa
 
Tayari ametema bungo huyu. Hayo makafara yao na mauchawi wanayotengezewa Nigeria yameanza ku expire.

Mwaka jana mjukuu wake alianza kufa kisha baada ya miezi 6 namwanaye Nisha mtayarisha muziki naye akafariki kiajabu.

Ameanza kuropoka baada ya kukiuka masharti na hizo ndiyo dalili za kupotea kwake.

Yawezekana anatakiwa kutoa mke wake sasa au mtu mwingine wa karibu, naye anasita sita.

Musishangae akafa mwenyewe anytime. Mark this post
 
Sijui kama unajua kwamba zipo aya zingine zimeongezwa na wafasiri. They never appear in the original manuscripts. Biblia imechezewa sana.
 
Dunia ni makao ya mda mfupi.
Ndo maana mwanadamu kapewa mbinu za kuweza kumshinda shetani ( nyoka) sasa mtoto aking'atwa na nyoka hali kapewa silaha na escaping zone akashindwa kutumia opportunity hio Mungu anakosa gani Hapo.
Note Dunia ni temporary place
 
Dingi kaamua kutusanua. 😁
Ila huyu dingi toka yule dogo wa panki achome gubenzi ni kama dingi kuna bolti ilicheza.. 😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…