Nadhani Watanzania wote mmeshajua wapi Mbowe alikuwa akitoa hela za kuisapoti CHADEMA

Mbowe hakuwa kiongozi na hata kuja kuwa kiongozi.Ukweli unabaki hivyo.
 
MTU anasema yeye ni mfanyabiashara Ila swali je Ana biashara gani ambazo zinaweza kumfanya awe billionaire?

Bila Lissu kumlipua Mbowe mgeendelea kuamini huu ujinga .
A Rose flower will smell Roseir what so ever name you call it!
 
Duuuuh!!!
Masikini mnatujua matajiri kuliko vile tulivyo!
 
MTU anasema yeye ni mfanyabiashara Ila swali je Ana biashara gani ambazo zinaweza kumfanya awe billionaire?

Bila Lissu kumlipua Mbowe mgeendelea kuamini huu ujinga .
kamsaidie basi Lisu huko aliko kumlipua Mbowe
 
Naona Chauma kimewauma kwelikweli.
 
Acha kusifia upumbavu mwaka 2015 chadema ilikuwa inakamata nchi huyu mbowe mpumbavu akamleta lowassa kuuua harakati zote. Huku akjipigia mabilioni.
Hapana kuna watu walipata ubunge sababu ya Lowasa hata ruzuku ya CHADEMA ilipanda mpk milioni 350 kwa mwezi
 
Ndo maana mkaitwa nyumbu! Halafu hili jina aliwapa Mbowe.
Nyumbu ni ccm kwani kila mwaka CAG huripoti wizi ufisadi upotevu wa pesa za walipa kodi lakini hakuna hatua zinachukuliwa, wewe sasa ni Dalali wa G55 kwenda Chaumaccm pesa za walipa kodi mnazifuja kwa mambo ya hovyo haramu ya kishetani
 
Nenda kawadanganye Watoto wenzio. Mbowe katithi mali kwa asilimia 80 kutoka kwa baba yake mzee Aikaeli mbowe. Ndio hizo amezitumia kama mtaji kwenye siasa.

Hakuna mali ya kutisha ambayo Freeman Mbowe katafuta kwa jasho lake. Kama ipo useme hapa
 
Naona chadema chakavu mnaendelea kuweweseka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…