Nadhani Watanzania wote mmeshajua wapi Mbowe alikuwa akitoa hela za kuisapoti CHADEMA

Majinga yako mengi sana..Ccm wako kimya wanajizatiti wenyewe wako busy kucharurana kwa mambo ambayo hata hawayajui zaidi yakujazana ujinga..Kwakitoka wanakaririshana No reform no election wakati huo hawana mikakati yoyote zaidi ya ujinga.

Kwani Mbowe kwa sasa anasemaje about this?
 
Amezianzisha kutokea wapi?, Alilipa matikitimaji akawa Billionea?, alikuwa machinga au?. Swali la msingi hasa kabla haya uliyoyataja alizitoa wapi?.
Utajiri wa mbowe umenin'ginia kama wa Godfather 😂 hauna chimbuko..... Mbowe imawezekana alikuwa na vipesa vya urithi ila pesa nyingi kazipata kupitia chadema, ameuza chadema muda kuanza zama za kikwete!!. ndio maana walishindwana na Zitto maana walikutana wote mamafia wa kufika bei!.
 
Acha ufwala wewe, kwa mahaba gani ya kuingia hasara huyo kisa politiki.
Kapiga hela ya kutosha humo ndo mana kaachia kiroho safi.
 
Inawezekana kabisa Mbowe ataenda CHAUMMA kugombea uRais dhidi ya SSH!
Inawezekana kabisa CHAUMMA kitanufaika na wafadhili wale wale wa CDM!
Na inawezekana kabisa wakakomaa na TL hadi MUNGU atoe hukumu yake!
Jamaa alikuwa smart bila lissu kumlipua ingekuwa noma.

Eti anatoa mil 700 kugharamia mikutano ya Chadema 😁😁😁 yule siasa ndo zimempatia utajiri hana biashara yoyote mpumbavu yule.
 
Haahaa lissu ameikomboa chademaaaa
 

Mzee wa ubwabwa ameshapata code ya maisha haha

Hakuna biashara ya kuweza kurun chama hapa Tanzania

Angekuwa ameshafilisika
 
NILIWAHI KUSIKIA MBOWE ANAUZA MCHICHA ULAYA🤔
 
Kuna mtu nilikwambia Mbowe ni mtu wa System akanitukana matusi mengi nikasema ile Familia Nyerere aliacha ameipa shukrani wengine ndugu zake wako majeshini ni vile Nyumbu wa Tuvushe na Kuzungusha Ngumi hata Lissu inawezekana ni mtu wa System ila kuna mambo hakubaliani nayo ndo vile sasa
 
Acha kusifia upumbavu mwaka 2015 chadema ilikuwa inakamata nchi huyu mbowe mpumbavu akamleta lowassa kuuua harakati zote. Huku akjipigia mabilioni.
Kama nchhi inakamatwa kwa namna hiyo wewe utakua hujui chochote kwenye hizi siasa.Halafu buyo mbowe mnayemnanga bila ushahidi wowote ndiye ambaye kaifikisha chadema hapo ilipofika adi ikawa na wafuasi kila kona.kama alikua ni mtu mbaya asingeshindwa kuidhoofisha ikabaki kama vyama vingine.hizi porojo ukizisikia unaona kabisa kuna watu mnashadadia mambo msiyoyajua kwakushikiwa akili au hamtumii akili zenu vizuri.
 
Kiongozi wa mfano upi? Alimwekea zito sumu akataka kumuua, alimtanguliza mbele za haki wangwe, aliiba pesa zote za chama na sasa ni Dalali wa G55 kwenda Chaumaccm ana ubora gani hapo? Acheni kujitoa fahamu kufagilia ushetani wa mbowe
Unapoleta hoja kama hizi leta ukiwa na vielelezo.Huu mtandao wanatumua pia watu wenye akili timamu zakupembua mambo bila mihemko,ujiinga,chuki binafsi wala bangi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…