Naibu Waziri mteule wa Madini, Francis Kumba Ndulane ashindwa kusoma kiapo kwa ufasaha, uteuzi wake watenguliwa

Kama mutaweza kutuwekea clip itakuwa bora kwa sisi wengine. Maana hatukuona na sijui kama watarudia kuonesha.
Dahh... Jamaa kakosa kazi hivi hivi. Anateuliwa Naibu Waziri Mwingine. Anabaki na Ubunge Pekee.
 
Magu hapo nampa kongole, hatuwezi kuwa na waziri ambaye hata kuji commit mbele ya mteuzi wake kashindwa
 
Mimi haya mambo ya kutuvizia siku tuko mapumziko ndo utumie vyombo vyote vya habari sipendi aisee. Atumie channel ten na TBC. Alaf hii awamu inaonenakana itakua ni ya kiki. Yaani kila siku TV, redio na magazeti tutakua tunaona....mara Rais kafanya hiki....mara Waziri....mara Mkuu wa Mkoa. Yaani hawa jamaa hawatuacha aiseee
 
Inawezekana hakujiamini tu, angefanya rehearsal kama ana shida hiyo na labda angemwona mwanasaikolojia na kumwomba Mungu.
 
Baba jesca kasema atamteua mwingine
 
ST SWAHILI ingia huko tamthilia tu
 
Kama mtu anakuwa muoga kwa watanzania wenzie, anashindwa kuapa (yaani kusoma Kama ilivyoandikwa tena kwa kiswahili). Je wakija wazungu ataweza kuongea nao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…