Naibu Waziri mteule wa Madini, Francis Kumba Ndulane ashindwa kusoma kiapo kwa ufasaha, uteuzi wake watenguliwa

Mteru ni kitu kibaya sana, pole yake.
 
CC yako ipo juu!😀😀
 
Jambo dogo lakini limeanzishiwa nyuzi kibao! Hii inaasiria kuwa watu wengi (nchini) wana misongo ya mawazo, kikitokea kitu kidogo tu wanapata fursa ya kutapika
 
Kuna mtu ana PHD lakini alishindwa kutamka "Entrepreneurship"akaishia kusingizia eti si lazima msomi kujua Kiingereza. Sa mbona huyu kashindwa kuapa kutokana na wasiwasi anafukuzwa? Uonevu tu![emoji15][emoji15][emoji15]
 
Alishindwa ubunge kura za maoni dhidi ya Murtaza Mangungo huko Kilwa Kaskazini...... CC ya chama ikamkata Murtaza ikampa hiyo aliyepata kura chache mnoo....
Leo ameshindwa kuapa....amezoea vya kupewa basi asiape awe tu waziri
Duuh hiyo ni changamoto nyingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…