Namtetea mtoto wa Simbachawene, askari wachunguzwe

Mi sijui hata mnataka kutetea Nini hapa. Hebu Kuna kipindi acheni ushirikina nyie watu. Yaani baada ya kuona hizo clip zote Bado mnataka kumtetea? Ama kweli watanzania nyoko asee.
Mi mwnyw namtetea mapolis yamezid ukuda acha yanyooshwe,siyapend mim
 
Ni askari sio askali mkuu.
Yani andiko linaweza kuwa sawa sana...nikishaona vitu Kama hivi vinanikata sana mara ya kwanza nilijua makosa ya kawaida ya kiuandishi lakini karudia si mara moja
 
Yaani umegonga penyewe kabisa. Yaani hao ma askari ni maboya mno, ningekuwa wambura unayafukuza kazi mara moja. Maana kama yamemdhalilisha hivyo kiongozi hayajui maadili ya kazi.
 
Ulichokiona ni ujinga wa polisi, hawakuwa na haja ya kuyaanika haya baada ya kukosa hela ya rushwa. Kama huna gari sawa au kama hujawahi kutana na kesi za polisi. Mi kuna boda liwahi nigonga then polisi wakaja wakabadilisha kosa likawa langu kwa sababu nina gari na hela kubwa ya rushwa. Yaani kwenye hii issue polisi ndiyo wenye makosa
 
Yohana mbatizaji alishawaambia hao....hawatosheki na mishahara yao.
 
Siwapendi polisi ila dogo kazingua angejifanya fala tu wangekuja kumtoa ndani wakimpigia saluti
 
Nimesoma uzi wako sijamaliza kuusoma ikabidi niache kusoma nije ku comment tu,wewe unaona ni sawa mtu kugonga gari na kukimbia?,haya gari ya kwanza imegongwa ka yeya,na hizo nyengine,jee hatari ingekuwaje kuhusu watumiaji wengine wa biashara.

Oky kwa hiyo unataka kuniambia haumini Jeshi lako na unataka kumuamini mtu alielewa.

Hakuna haki ya mtu kufanya kosa popote pale
 
Kweli Wana sio Wana
Wanazingua mno. Kuna mtu mmoja siku moja gongolamboto kwenye kinjia cha uchochoroni wakakutana na gari ya doria ya polisi, polisi wakawa wanalazimisha eti wapishwe na gari ya raia basi ikawa ubishi e bwana wakashuka wakamkamata yule rais na vipigo juu na kumuweka lokapu, na wakambambikia kesi.
Eee stori yako inasikitisha sana hawa askari wenu ni warafiii balaa.. ila kuhusu watoto wa viongozi kuheshimiwa hapo hapana kila mtu amuheshimu mwenzake tu.
mkuu mi nikimkuta mtoto wa kiongozi namheshimu na kumpenda maana wazazi wao ndiyo wameshikilia maamuzi ya nchi kwa sasa. Yaani awe upinzani au CCM.
 
Hii nchi watu wanachuki ya bure tu dhidi ya viongozi. Mi naona bora tuungozwe na mbuzi
 
Hapana askari ni waongo, wametunga stori ili kimdhalilisha Mh. Simbachawene na mtoto wake. Hawakupaswa kuomba rushwa
 
.Always protect your Superior...hao Askari baada ya kujua ni mtoto wa bosi wao na yuko mtungi wangemsukuma ndani faster kumficha toka kwenye macho ya umma.
Ili kulinda heshima siyo? Kwa faida ya nani? Bora wameweka hadharani ili tujue aina ya viongozi wanaojibandika madaraka huku wakiwa wameshindwa hata kuongoza familia zao
 
Siwapendi polisi ila dogo kazingua angejifanya fala tu wangekuja kumtoa ndani wakimpigia saluti
Polisi wanaweza kukuua, kama hutaki kutoa rushwa kwa polisi na huna ki chh huu cheo basi tumia wakubwa lasivyo utakufa au kufungwa maana polisi wengi siyo waadilifu
 
Yani andiko linaweza kuwa sawa sana...nikishaona vitu Kama hivi vinanikata sana mara ya kwanza nilijua makosa ya kawaida ya kiuandishi lakini karudia si mara moja
Nime rekebisha askari wangu
 
Unaona ni sawa kugonga gari na akimbie,jee huko mbele kwa watumiaji wengine wa barabara wana usalama gani?
 
Wamemrekodi clip nyingi nyingi tu kuanzia nje hadi ndani ya kituo, na wao wana makosa. Aligoma kuingia kituoni ikabidi wamfosi wakawa wanamsukuma ndio maana akawa anatukana pale ndani ya kituo na yeye anataka kulipwa kwa kudhalilishwa
Anagoma kuingia kituoni halafu unamtetea, pumbafu kabisa..yeye nani agome kuingia kituoni shenzi sana
 
Pamojana Hilo baba yako ana kesi kubwa sana, Taratibu za kazi yake zinaruhusu kumchukua video mteja?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…